Faida ya kuwa na mali nyingi ni nini kama wakati wa shida hazikusaidii?

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
4,140
2,000
habari wadau.

maana ya kuwa na asset na mali nyingi ni nini?

kama hata ukiumwa hazikusaidii chochote unabebesha mzigo wengine..

tujadili hili kazi ya asset ni nini?

je tunatafuta mali za kazi gani?

sio roho mbaya au nzuri.. tujenge hoja kwa akili
 
FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
4,140
2,000
Maisha mafupi haya ngoja nisubir mwisho wa mwezi nigonge bia zangu maisha yasonge maana kama utajiri ndo huu sioni maana yake
#Get well soon Ruge

Sent using Jamii Forums mobile app
hata mimi sioni maana yake.. mtu jna kampuni kama tatu mzuka kila wiki unagawa mapesa kwa washindi wa bahati nasibu.. why zisichotwe kiasi zikakutibia mmiliki... mtu una mradi kama escape one, au tht au share redio kubwa nchini.. why usiuze hata share zako.. au ukamkodisha mtu escape one.. hela wewe ukajitibia..

nyumba kibao mjini... ila bado unaumwa unakosa pesa.. unaomba mchango kwa watu usiowajua...

faida ya utajiri. sijauona kwa kweli kama ni hivi
 
cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
11,463
2,000
Watanzania tujifunze kuwekeza kwenye afya kwa kukata hata bima kubwa aisee

kwenye bima zetu za afya namtetea.. bima kubwa hazitibu pia nje ya nchi...

nimewai kumpeleka mgonjwa apollo india.. alikuwa staff wa bot.. enzi za jk wana bima ya afya nzuri sana kibongo bongo.. ila kule haikutambulika hata kidogo... malipo yalikuwa mfumo wa cash cash.. japo bot walimlipia kwa wire transfer..

ukisikia hospitali hizo apollo , millpark south africa, agha khan india.. ni hospitali kweli kweli watu wamewekeza zinataka cash tu.. hawana utani wa longo longo... wanaweza kukuacha hata ufe kama hulipiii huduma
ila ukiwa na hela yao wanayotaka. unapata huduma kama upo peponi vile
 
cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
11,463
2,000
Ina maana hizi bima kubwa za jubilee hazipokelewi nje ya nchi hyo ya nhif nakubali ya ndani ila kuna kubwa unatibiwa nje ya nchi.

Dunia hii afya ni kila kitu kuliko mbwembwe nyingine zote
kwenye bima zetu za afya namtetea.. bima kubwa hazitibu pia nje ya nchi...

nimewai kumpeleka mgonjwa apollo india.. alikuwa staff wa bot.. enzi za jk wana bima ya afya nzuri sana kibongo bongo.. ila kule haikutambulika hata kidogo... malipo yalikuwa mfumo wa cash cash.. japo bot walimlipia kwa wire transfer..

ukisikia hospitali hizo apollo , millpark south africa, agha khan india.. ni hospitali kweli kweli watu wamewekeza zinataka cash tu.. hawana utani wa longo longo... wanaweza kukuacha hata ufe kama hulipiii huduma
ila ukiwa na hela yao wanayotaka. unapata huduma kama upo peponi vile
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfiaukweli

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
5,603

Health Insurance za makampuni AAR na Strategies wana product ambazo unatibiwa mahali popote kutegemea ulichagua bima gani.
 
FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
4,140
2,000
Health Insurance za makampuni AAR na Strategies wana product ambazo unatibiwa mahali popote kutegemea ulichagua bima gani.
inaweza ikawepo siijui.. ila kwa waajiriwa bima zote zina limit... maana nakumbuka hata mwajiri mkubwa kama ubalozi wa marekani kwa staff bima yao ina kiwango mwisho.. na hospitali za ndani tu

hizi ambazo nyingi tunalipiwa na waajiri kama aar, strategy, nhif, hazikupeleki nje ya nchi...

na hata nhif pia.. mfano hai tundu lissu ana premium insurance ya kibunge ya nhif.. ila hapo kenya tu agha khan nairobi walilipa cash...

bima zetu nyingi ni hospitali za ndani tu... labda watu binafsi wachache wanajikatia kwenye makampuni makubwa na bima za kimataifa..

ila hizi aar. jubelee za kibong zikisikia apollo zinatetemeka.. maana zinajua zitafilisika.. zikipeleka wagonjwa kule kwa package wanazolipwa na waajiri ndogo..

hizi bima zetu za kulipa milioni moja na nusu kwa mwaka.. au milioni 5 kwa mwaka... zikupeleke nje ya nchi.. haiwezekani
 
Ingia websites za hayo makampuni utajionea mwenyewe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom