Kila mmoja wetu anao wajibu wa kuzuia vifo vitokanavyo na uzazi

MwanaAfya

Member
Jan 17, 2019
6
45
Kila mmoja wetu anao wajibu wa kuzuia vifo vitokanavyo na uzazi (Maneno Basi, Sasa Vitendo)

Mama anapewa nafasi ya kwanza kabisa hata kwenye vitabu vitakatifu yaani Quruan na Biblia, sasa basi wewe ni nani usijali akina mama wanajawazito?
Kila mmoja kwa nafasi yake awe ni baba wa familia, kiongozi au raia wa kawaida nawaombeni tafadhari tuwajali akina mama wapate huduma iliyo bora ali wajifungue salama na tuwavushe.

Kwa leo ni hilo tu.

Ni mimi MwanaAfya
 

Attachments

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom