Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Usipoteze muda na haya mambo yanayohusiana na dini. Ingawa hizi dini zinaeleza baadhi ya mafundisho ya kweli, hawa jamaa ni wafanyabiashara kama watu wengine tu! Mwanzo 1: 26 " na tumfanye mtu...
2 Reactions
53 Replies
4K Views
Ni Zaidi ya miezi mitano sasa tangu channeli za runinga za maudhui ya bure ziondolewe kwenye ving’amuzi vya Azam TV na kwingineko. Watumiaji ya azam tv tukaambiwa tuwasilishe malalamiko yetu kuwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana JF, niende kweny mada moja kwa zote hivi hili jambo mrejesho wake upoje. Hivi ni kweli mtu ukiacha kazi au kuachishwa unapewa NOTI zako zote? Aneyefahamu hebu atiririke humu nasi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mambo VP wadau..naomba ushauri ni sehem gani nzur hapa Arusha nawezapata matofali imara za block zakujengea nyumba yakuishi ..msaada tafadhari..ahsanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
0 Replies
610 Views
Zaidi ya wafanyabiashara 1000 halmashauri ya mji wa Njombe wanategemea kupata fursa ya vibanda katika jengo jipya na la kisasa linalojengwa mjini Njombe. Akizungumza na waandishi wa habari katika...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Wasalaam Nimemaliza ziara yangu nchini Kenya juzi na tathmini yangu ktk sekta ya viwanda Vya wazawa ni kama ifatavyo; KENYA 1.katika gereji na viwanda Vya wazawa nilivotembelea kama banbros...
30 Reactions
52 Replies
13K Views
Naandika hili moja kwa moja nikiwa ni muhanga wa jambo hili, naomba TCRA muingilie kati hizi meseji imekua kero sasa. Kila dakika meseji ya kamari, uwe unacheza uwe hauchezi meseji utatumiwa tu...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari gani mabibi na bwana, moja kwa moja niende kwenye point ya msingi. Maana hua nawahurumia sana wale ndugu zetu ambao Mungu amewajaalia kupata mtoto mmoja tu maishani mwao pole yenu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani kuna hawa jamaa wa kenya wanauza simu kwa bei poa wanaitwa "top one phone" ukihitaji mzigo unatuma pesa kwa safari com au njia zingine za kifedha then unatumiwa mzigo wako. Sasa nataka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
WACHIMBAJI wadogo wa madini ya dhahabu kutoka maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Chunya, wameandamana mpaka katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo kwa ajili ya kuwasilisha shukurani zao kwa Rais John...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nitaandika kwa kifupi sana. Mgunduzi ni mtu aliyesababisha kitu kikichokuwepo kabla kiwe na matumizi yenye kuleta tija kwa wengi kibiashara, kiafya kisayansi nk. Mvumbuzi ni mtu aliyeleta kitu...
4 Reactions
40 Replies
5K Views
Kwa kweli inasikitisha sana kuona fedha ya Tanzania ikishuka kwa kasi dhidi ya dollar za Kimarekani. Juzi kwa ubadilishaji wa fedha ya Kitanzania dhidi ya dollar (BOT) ilikuwa $1=2245 lakini leo...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Baadhi ya wauza kahawa wakichoka kutembea huwa wanafanya mambo ya ajabu sana ilmradi wasitupoteze wateja wao! Yale mabegi mgongoni yana kila kitu, yana beba mkaa, kiberiti, kashata, Katanga, kopo...
13 Reactions
58 Replies
11K Views
Ni kawaida sana kwenye msiba marehemu kuzungumziwa kwa mazuri. Na hii imetokea sana kwenye vifo vya watu maarufu especially wasanii. Imefikia hatua wadau wa muziki wakilalamika na kutiana wenyewe...
1 Reactions
2 Replies
984 Views
Kabla ya kutoa maoni yangu, niweke link kabisa. No more ads for Rwanda's herbalists Na hii inahusu Rwanda kupiga marufuku matangazo kwa waganga wa jadi (wakiwemo wachawi, wapiga ramli, wasoma...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Familia moja ya watu zaidi ya 10 yenye asili ya kiasia wakazi wa eneo la Sabena katikati ya jiji la Arusha,hawana mahala pa kuishi kufuatia nyumba yao kuvamiwa na kuvunjwa na vitu kutolewa nje...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
BENKI ya Ushirika Mkoani Kilimanjaro(KCBL), 'imekufa',ndiyo ninasema imekufa kwa sababu mpaka sasa haitoi huduma,ukifika ndani ya benki hiyo unakutana na ukimya uliotanda,kuna wateja wasiopungua...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Sijajua utaratibu ukoje ila natoa tu pendekezo kuwa ile korosho iliyorejeshwa kwa wakulima kwa kukosa sifa, basi wakulima hao waruhusiwe rasmi kuiuza kwa wanunuzi wowote ndani na nje ya nchi...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
6 Replies
2K Views
M-Thailand alietishia kuifuta account ya Mark Zuckerberg, Jana ameanza kutema Cheche na kuitest mitambo yake. Alifanikiwa kuzifuta account za Facebook takriban mil. 50 usiku wa kuamkia Leo na...
43 Reactions
176 Replies
20K Views
Back
Top Bottom