Hivi Viongozi wa Hii Serikali Wanajua Kweli Wanachokifanya?

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
5,636
8,774
Huu uzi hapa chini niliupita for some reason bila kuusoma, ila sasa imebidi niutafute. Nipo Dar mitaa fulani napata late lunch cum early dinner. Kuna mteja kaja na dame na kaomba condom kwa mhudumu. Dada kamjibu hivi: "kaka huku haziletwi tena, boss anasema mjini alikokuwa anazipata hazipatikani kwa sasa". Mteja katikisa kichwa lakini bado karudi alikomwacha mwenza wake. Mnadhani hawa watu wataachana hivi hivi tu kwa kuwa condom zimekosekana?
Wandugu, jiandaeni kuona HIV infection rate mbaya kuliko ya miaka ya 90. Na ukitilia maanani tumegombana na mabeberu waliokuwa wanatupa dawa za kufubaza virusi na kuongeza life span (ARV), naogopa hata kuwaza huko mbele kukoje.

Condom zadaiwa kuadimika mkoani Njombe - JamiiForums
 
Kuna idadi kubwa sana ya watu wanaoishi na VVU, kwa huu uhaba wa Kondomu basi idadi kubwa itaongezeka sana
 
Ushauri wako
Huu uzi hapa chini niliupita for some reason bila kuusoma, ila sasa imebidi niutafute. Nipo Dar mitaa fulani napata late lunch cum early dinner. Kuna mteja kaja na dame na kaomba condom kwa mhudumu. Dada kamjibu hivi: "kaka huku haziletwi tena, boss anasema mjini alikokuwa anazipata hazipatikani kwa sasa". Mteja katikisa kichwa lakini bado karudi alikomwacha mwenza wake. Mnadhani hawa watu wataachana hivi hivi tu kwa kuwa condom zimekosekana?
Wandugu, jiandaeni kuona HIV infection rate mbaya kuliko ya miaka ya 90. Na ukitilia maanani tumegombana na mabeberu waliokuwa wanatupa dawa za kufubaza virusi na kuongeza life span (ARV), naogopa hata kuwaza huko mbele kukoje.

Condom zadaiwa kuadimika mkoani Njombe - JamiiForums
Unashauri tuwaache waibe madini ili watupatie kondom?
 
Ushauri wako
Unashauri tuwaache waibe madini ili watupatie kondom?

Hakuna mahali nilipoandika kuwa wanaoiba madini waachiwe ili watuletee condom. Waliokuwa wanaleta condom ni NGOs ambazo wala hazina uhusiano na madini.
 
Noted,
tunatambua shortage hii...na kweli tutapambana kutatua changamoto hii.

Ombi letu ,wananchi waendelee kuchukua hatua za kujikinga na UKIMWI kwa njia mbalimbali ikiwemo kuabstain, kuwa mwaminifu kwa mpenzi wako na ukishindwa nunua condom kwenye maduka yaliyo karibu na wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom