Kweli Lowassa alikuwa smart Sana, hii serikali ya awamu ya tano imeanza kuwanyang'anya wananchi Mali zao Kwa ajili michango ya ujenzi wa shule.

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
1,002
2,000
Hapo vip!!
Leo nimekutana na wananchi wanaotokea wilaya ya Arumeru wakililamika migambo kuvamia katika Nyumba zao na kuchukua Mali, Kwa madai ya kushindwa kulipa michango ya ujenzi wa shule ya shillingi elfu 25.

Nakauli mbiu ya hao Migambo ni kwamba michango lazima, vinginevyo hata kitanda watakiuza.

Anyway, sipingani na mpango Wa kujenga shule lakini kwa serikali hii inayokusanya kodi Sana mbali na kodi kuna vyanzo vingi vya kupata pesa, Kwa nini inawafilisi wananchi wake. ..?

Isitoshe serikali hii imesababisha maisha magumu kwa wananchi, kuanzia katika maeneo ya biashara (hakuna mzunguko wa pesa), hakuna ajira n. K

Leo inamtaka huyu mwananchi aliyekosa ajira, mwananchi ambaye biashara yake imefilisika kutoka na kuyumba Kwa uchumi wa Nchi...alipe mchango tena Kwa lazima.

Hivi Lowassa aliwezaje kujenga shule za Kata pasipo, kuwavamia wananchi na kuwanyang'anya Mali zao..?
 
naima kassimu

Member
Feb 5, 2019
7
45

Jaman imefikia hatua hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jebs2002

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
6,885
2,000
Hakuwa "Smart" alikuwa "mwizi na fisadi!"
Ngoja uzungushwe nchini kwenye mali alizopata kiajabu ajabu huku akilipwa mshahara kama mtumishi na ujiulize aliwezaje ku-afford! :mad::mad::mad:
 
Habuba

JF-Expert Member
Oct 11, 2015
925
1,000

Elimu bure,
hahahahhaha.
 
Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
5,891
2,000
Huku Meru kuchukua vitu kwa nguvu kama hujalipa mchango au hujajitokeza kwenye shughuli za kijamii wanaita "Kubambua".Yaani inapanga kazi za kijamii zifanyike siku za kazi kama vile sisi wote ni wakulima. Mijinga kweli hii mijitu!
 
Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
1,002
2,000
Hakuwa "Smart" alikuwa "mwizi na fisadi!"
Ngoja uzungushwe nchini kwenye mali alizopata kiajabu ajabu huku akilipwa mshahara kama mtumishi na ujiulize aliwezaje ku-afford! :mad::mad::mad:
Bora ufisadi wake kwasbabu alibaa akatusaidie kuanzia mpango wa ujenzi wa secondary Kila Kata.

Sasa hawa 1.5 trilioni zimeibiwa awamu hii ya tano lakini wanawanyang'anya wananchi Mali zao Kwa ajili ya michango ya secondary.
 
Tyetyetye

JF-Expert Member
Dec 3, 2014
900
1,000
Hapo vip!!
Leo nimekutana na wananchi wanaotokea wilaya ya Arumeru wakililamika migambo kuvamia katika Nyumba zao na kuchukua Mali, Kwa madai ya kushindwa kulipa michango ya ujenzi wa shule ya shillingi elfu 25.

Nakauli mbiu ya hao Migambo ni kwamba michango lazima, vinginevyo hata kitanda watakiuza.

Anyway, sipingani na mpango Wa kujenga shule lakini kwa serikali hii inayokusanya kodi Sana mbali na kodi kuna vyanzo vingi vya kupata pesa, Kwa nini inawafilisi wananchi wake. ..?

Isitoshe serikali hii imesababisha maisha magumu kwa wananchi, kuanzia katika maeneo ya biashara (hakuna mzunguko wa pesa), hakuna ajira n. K

Leo inamtaka huyu mwananchi aliyekosa ajira, mwananchi ambaye biashara yake imefilisika kutoka na kuyumba Kwa uchumi wa Nchi...alipe mchango tena Kwa lazima.

Hivi Lowassa aliwezaje kujenga shule za Kata pasipo, kuwavamia wananchi na kuwanyang'anya Mali zao..?
Mamilioni yaliyotumika kumtibu Job Ndugai yangeweza kulipa michango yote ya shule hapo Arumeru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom