Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwenyekiti wa kitongoji cha Usinge Kati anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumlawiti kijana mmoja. Mtuhumiwa na wezake walifanya kitendo hicho cha kumlawiti huyo kijana na kisha wakamshindilia...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Sakafu ya Bahari Siri Zake Zafunuliwa TWAHITAJI kuelewa kindani kidogo jinsi ambavyo dunia imeumbwa ili tuweze kuelewa mambo yaliyoonwa na watafiti waliokuwa kwenye chombo cha Alvin. Yaaminika...
2 Reactions
20 Replies
7K Views
Kuna kundi la vijana ambao wao kuanzia asubuhi hadi saa sita usiku wapo wapo tu hapo kijiweni karibu na hosteli ya wanafunzi wa chuo cha uhasibu ( nyanja) bila ya kazi yeyote ya halali ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo nimepita maeneo flani nimekuta kuna mtu wa kutoka Manispaa akitangaza kwamba wamachinga na wajasiliamali wote wanapaswa kwenda ofisi za mtendaji kwa ajili ya kupata vitambulisho vya ulipaji...
0 Reactions
1 Replies
979 Views
MARADHI MABAYA SANA KWA WATANZANIA … “Hawataki kusoma vitabu na hawako tayari kuchangia elimu” Wamarekani wana kiu ya kusoma vitabu tofauti na Watanzania na huu utamaduni wa kutosoma vitabu...
10 Reactions
81 Replies
7K Views
MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Sirro, amemuondoa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Deusdedit Nsimeki kwa kushindwa kudhibiti matukio ya uhalifu likiwamo wimbi la mauaji ya watoto, mkoani...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Habari wana jf kuna taarifa ya mauwaji ya wanafunzi National mkuani mwanza tunaomba mlioko huko mtupe taarifa zaidi
0 Reactions
1 Replies
511 Views
Kuna TV nataka kununua hapa sasa nashindwa kuelewa hizi mambo zina maana gani. Naona kuna mfano Samsung smart Led TV na Samsung Full HD led Tv. Hizi zina tofauti gani na ipi ina ubora kuliko...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu na kwa vile Jf kuna darubini kali ningeomba kumfahamu mtu huyu ambaye amejipambanua kama mdau na mchangiaji wa maendeleo ya elimu mkoani Mbeya na...
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Kama kawaidaaa kama ngomaa kama dedeee, tumezoea kila wiki Baba anapiga show MUBADlSHARAAA kabisa. Leo ni Ijumaa KIMYAAAA hakuna MUBASHARA wowote..... Japo Janaaa Kaka wa Jijiii, Ilikuwa ni...
5 Reactions
79 Replies
9K Views
Kijana Richard Peter Lombo (29) ameuawa na polisi wilayani Arumeru kwa kupigwa Risasi kifuani akiwa ndani ya Kituo cha Polisi Usariva Mkoani Arusha baada ya kufikishwa hapo akituhumiwa kwa...
9 Reactions
109 Replies
13K Views
Self Imposed Refugee Ngurumo and the Tale of Bolt in the Eye _Masondore G. Masondore, Ontario, CA._ Tanzanians are wondering seeing the laughable article titled as “Magufuli Asaidiwe Kuachana na...
0 Reactions
5 Replies
892 Views
Naomba kujua hili jengo lipo maeneo gani hapo dar na floor yake ya kumi kuna ofisi gani(inaitwaje,inahusika na nini) PLS....Nisaidieni wanajamvi
0 Reactions
0 Replies
559 Views
Dunia inakwenda kwa spidi sana. Na wanasayansi kila kukicha wanajaribu kuchochea spidi hiyo. Inawezekana wengine wamestuck karne ya 20, na wengine wako karne ya 21, lakini inawezekana wengine wako...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Kifurushi chao ni shilingi ngapi? kifurushi kikiisha jee zinabaki channel ngapi?
0 Reactions
141 Replies
24K Views
Baada ya serikali kuanzisha mfuko wa pamoja wa hazina kwa mapato ya Serikali (single treasury account) hali imekuwa mbaya kwa baadhi ya Halmashauri nchini. Ikumbukwe kuwa kutokana na ufinyu wa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
MKAZI wa Sinza “E”, John Julius (33) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni Dar es Salaam akituhumiwa kwa ubakaji. Akisoma shtaka hilo mbele ya Hakimu Bonifasi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Siyo watu wengi walio na ufahamu kuhusu jamii ya Sentinel kama T N Pandit ambaye ni mtaalamu wa masuala ya jamii za kale nchini India. Kama mkuu wa kikanda wa wizara ya masuala ya jamii nchini...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Kama inavyojieleza hapo natafuta nyumba ya kupanga Mtwara mjini 1. Iwe na hali nzuri pamoja fence 2. Iwe vyumba viwili,Jiko kimoja Kiwe master 4. Nyumba Isiwe uswahilini Contact 0753476428
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Taasisi inayoshughulika na usimamizi wa rasilimali za asili na maendeleo endelevu > Taasisi hiyo imeleeza kuwa kiwango cha kodi kwa Tanzania ni asilimia 74 > Imeeleza kuwa chanzo cha ongezeko...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom