Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Ustawishaji Makao makuu Dodoma, Waziri wa Mambo ya Ndani, Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salaam, Brigedia aliyeongoza majeshi yetu kuuteka Mji wa Kampala, Mbunge wa...
Hiki kitu tukificha ipo siku linalala gari na roho zaidi ya saba tukashindwa kulipwa tuliobakia
Mambosasa hembu fanyeni uchunguzi wa kina ya hizo Noah zinazopakia Kimara-Bonyokwa na Kimara-Matosa...
“ USISHINDWE NA UBAYA, BALI UUSHINDE KWA WEMA” WARUMI 12:21
Usishindwe na ubaya, bali uushinde ubaya kwa wema ni somo ambalo liko very motive kwa wale ambao wako katika elimu ya kidunia wanajua...
KATIKA kampeni ya ukusanyaji madeni ya miezi minane, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imekusanya zaidi ya Sh bilioni 120 kutoka kwa wanufaika nchi nzima. Mkurugenzi wa...
Kitu gani kinachokufanya ujivunie kuwa wewe?
Binafsi sina mali, gari, pesa wala nyumba ila uwezo wangu huu wa kuzichanga ili nisilale njaa kuanzia ya chakula mpaka papuchi ndio pekee...
Ndgu zangu nawasabah kwa jina lipitalo majina yote ulimwenguni! Nawasalimu nikiwa sina furaha moyoni, na hii inasababishwa na utitili wa vifo unao endelea kuliandama taifa letu kila uchwao...
Mzuqa
Najiuliza tu Huyu gwiji wa R&B hana ndugu wa kumsupport hata siyo kifedha tu yani hata emotional support kujitokeza hata kwenye media tu.
Wanaomsuport ni watu baki hata yule mwanamama...
Poleni sana Clouds Media kwa msiba mwingine alfajiri hii ya leo wa Mtangazaji ambae sio siri ana wafuasi wengi sana ambao ni wasikiizaji wa kipindi cha Jahazi Ephraim Kibonde aka Kibs,
Kibs...
Tuende moja kwa moja kwenye mada, baada ya msiba wa ndugu yangu Boss ruge mutahaba niliweza kushiriki kwa kumlilia na kumuombea safari njema huko aendako mana niliamini ni mtu wa watu na pia kuna...
Najiuliza tu wakuu unapata mda wa kurudia kuangalia?
Mnavyoangalia mnajisikiaje na nini faida yake?
Tuacheni mbwembwe....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtangazaji machachari wa kipindi cha Jahazi cha Clouds Fm..Efrahim Kibonde leo jioni kwenye kipindi ametangaza vita na wote waliotengeneza na kusambaza dawa bandia za kurefusha maisha kwa...
Tatizo wasanii wa Tanzania hawaandiki mashairi yao na kuyaweka mtandaoni.
Hawajui kuwa msikilizaji au mnunuzi wa kazi zako za sanaa ni mteja wako, na mteja anahitaji huduma ya hali ya juu ikiwemo...
Shule ya msingi ni mengi yalijitokeza na huenda yamepotea na ambayo yapo bila shaka hayajabadilika au yapo kisasa zaidi.
Kumbukumbu yangu shule ya msingi ni pale ambapo wakaguzi wanakuja...
Nina mln 1.5 Niko bzy kazini nahitaji nianze biashara sasa je nifanye biashara gani ambayo itaendana na mtaji wangu na mazingira yangu ya kutka SAA 9 alasr kazini.
Sent using Jamii Forums mobile app
George Mwigulu wa Gazeti la Majira amekamatwa wakati akiupiga picha msafara wa Wanawake wa Chama cha ACT Wazalendo
Wanawake hao walikuwa katika shamrashamra za kusheherekea siku wa Wanawake...
Watu 5 wamekufa na wengine 2 kujeruhiwa kijiji cha Marwa wilayani Same, baada ya Petroli iliyokuwa ndani ya nyumba wanapoishi kulipuka
Taarifa zaidi kukujia kupitia Uzi huu....
========
Same...
Wasalaam,
Nimekuwa nikisikia taarifa mbalimbali zisizo rasmi kuhusu huyu Mzee wetu, Marehemu Jenerali Imran Kombe. Kuna wazee tofauti tofauti ambao waliwahi kukaa naye karibu wakati wa uzima...
maendeleo hayana vyama ndugu zangu, na uongozi wa awamu ya tano no uongozi unaoacha lama ndugu zangu,kila mtu anakuwa treated fairly bila kujali kabila,jinsia,rangi,dini wala ufuasi wa chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.