Watu wanatapeliwa kipumbavu, Serikali inahangaika na mambo mengine yasiyo na msingi
Mtu anachukua unga wa COLA anachanganya na maji na kujaza kwenye chupa za maji safi, na kuweka lebo kuwa ni...
HABARI NJEMA YA UFALME WA MBINGUNI
Je duniani mna habari kwamba yupo nabii wa MUNGU Mtakatifu? Kama hamna habari basi nabii huyo yupo hapa duniani, na biblia imemuelezea ya kwamba atakuja...
Ewe then Hakimu Mashauri na wengine kama ni dhamira zenu au la, basi mada hii inawahusu.
Mtenda haki kama alivyo msema kweli, yeye ni mpenzi wa Mungu. By contrapositive mkalia haki za watu...
Nafatilia mazishi ya kibonde kupitia Clouds TV mamwona huyu Sebastian Maganga kavaa kipensi modo na ki t-shirt chekundu yaani haendani kabisa na waombolezaji wengine,yaani kama kaenda kwenye...
wadau,
Ni miaka mingi sasa imepita toka yaliyokuwa maandamano ya amani ya kumtaka rais assadi kujiuzulu yalipogeuka kuwa vita isiyoisha.
Kila Siku tukitazama TV tunaona kama sio madege ya...
Jamii sasa imebadilika sana na milango ya ajira imepanuliwa kiasi cha kutosha. Hivi sasa ajira nyingi zilizoitwa uhuni miaka ya nyuma ndizo zinazolipa. Sana.
Ajira rasmi za Serikali heshima yake...
Mvua zinanyesha Dar, Zanzibar, Morogoro, Arusha, Kilimanjaro/Moshi. Lakini Tanga inaachwa kati na ukame wa kutisha. Nilitegemea ukanda wote huo kila mahali ingelikuwa mvua. Sababu yake ni nini...
Shirika la Hifadhi ya jamii (NSSF), limefanya mabadiliko katika mfumo wa mawasiliano kwa kuanza utaratibu wa kidigitali katika kutoa na kupokea taarifa kutoka kwa wanachama na wastaafu wa huo...
Niliposikia ile hukumu ya kifo kule Bukoba nilishituka kidogo, ila nikajipa mda wa kutosha kutafakari.
Mwalimu aliyekuwa anafundisha watoto leo amehukumiwa kifo. Masikitiko. Kazi ya ualimu...
Mzuqa
Yani DA Mange kimya hata safari ya lissu Marekani hakuzungumza chochote. Hela bana. Halafu wanakubali kupokea hela ya walipa kodi.
Msaliti Slaa naye alipokea hela ya walipa kodi akabakia...
aisee yaani bado tunachukua misaada ya MABEBERU,wanaosapoti ushoga,si tulikataa kushiriana nao hawa majaaa jamani?mbaya zaidi ni kutoka ujerumani ,nchi ambayo mzalendo Musiba alitutaarifu kwamba...
Kiukweli kabisa zbc2 imekuwa na ushawishi kuliko Tbc..Zbc2 wanatupa burudani ya michuano ya CAF mpaka fainali,wanatupa mechi za ku qualify za Afcon na pia wataonyesha Afcon..Binafsi nimetizama...
Habari wadau
Kama mada inavyojieleza hapo juu,nashindwa kuelewa fomula mbalimbali za watu ama vikundi vya kikristo vinavyoibuka Kila uchao,hivi biblia inayotumika ni hoo hoo au maana nasilia Hawa...
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye akifungua kikao cha wa wadau (hawapo pichani) wa Sekta ya TEHAMA kutoka Serikalini, sekta binafsi, taasisi za Elimu ya Juu na...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam imempandisha kizimbani Asia Mohamed (26), mkazi wa Magomeni Mapipa kwa shtaka la kujeruhi.
Akisomewa shtaka hilo mbele ya Hakimu Hanifa Mwingira...
Katibu Mkuu wa shirikisho la mbegu la kimataifa Bw. Michael Keller, amesema kuingia kwa mbegu feki na zisizo na kiwango barani Afrika, kumefanya hali ya usalama wa chakula katika nchi za Afrika...
[SIZE=3]
Baada ya kifo cha aliyekua kiongozi na muasisi wa Kanisa la Pool of Siloam Nabii Eliya mungu wa Majeshi a.k.a Adamu wa pili, gazeti la JIBU YA MAISHA linalomilikiwa na kanisa la TAG la...
Wasalaam wana Jf. wote
Unaweza kuita majina yoyote fahafu mahusiano ya mambo au vitu hivi ambavyo kwa pamoja tuvijadili, ingawa Mimi nimeviita vifundo ambavyo vipo kwenye kamba inayoitwa maisha...
Jana ndio ilikua siku ya mwisho kwa mimba ambayo ingetungwa usiku huo mtoto angetarajiwa kuzaliwa wiki ya mwisho ya mwezi December 2019,kama umechelewa kwa jana basi utapata mtoto 2020...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.