Same: watano wafariki baada ya petroli kulipuka

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,571
2,000
Watu 5 wamekufa na wengine 2 kujeruhiwa kijiji cha Marwa wilayani Same, baada ya Petroli iliyokuwa ndani ya nyumba wanapoishi kulipuka

Taarifa zaidi kukujia kupitia Uzi huu....


========
Same. Five people have died and two other have been injured after petrol exploded at a village in Same District, Kilimanjaro.

Among the dead, four of them are members of the same family.

The fuel was kept in the house, Kilimanjaro Regional Police Commander Hamisi Issah has confirmed.

He said it exploded while some occupants were cooking.

Same District Commissioner Rosemary Senyamule said the incident occurred at around 8pm on March 6, 2019 at Marwa Village, Ruvu Ward.

She said seven people were in the house. Five of them died and two survivors were being treated at Kilimanjaro Christian Medical Centre.

An investigation is going on to establish why petrol was kept into the house.

“I expect to receive a report on the investigation tomorrow."

The Citizen Tanzania
 

muafi

JF-Expert Member
Oct 6, 2015
1,421
2,000
hiyo petroli inayotunzwa ndani ya nyumba ulikua kiasi gani?
 

T 1990 ELY

JF-Expert Member
Sep 7, 2014
8,720
2,000
Au ndo ile style ya kuuzia petrol kwenye chupa za maji

Dasani

Jambo

"Enough of No Love"
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom