PROOF>umoja,mshikamano na upendo unavyoimarika awamu ya tano

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,768
maendeleo hayana vyama ndugu zangu, na uongozi wa awamu ya tano no uongozi unaoacha lama ndugu zangu,kila mtu anakuwa treated fairly bila kujali kabila,jinsia,rangi,dini wala ufuasi wa chama
Shukrani sana kwa mahakama,bunge,msajili wa vyama na jeshi bora kabisa la polisi barani africa yaani PT Police Tanzania kwa kusimamia vyama vyote bila kubagua
TUPO PAZUURI MNOO JAMANI,TUTEMBEE VIFUA MBELE, MABEGA JUU
maendeleo hayana vyama.PNG
 
Back
Top Bottom