Mwandishi wa gazeti la Majira akamatwa mkoani Katavi

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,571
2,000
George Mwigulu wa Gazeti la Majira amekamatwa wakati akiupiga picha msafara wa Wanawake wa Chama cha ACT Wazalendo

Wanawake hao walikuwa katika shamrashamra za kusheherekea siku wa Wanawake Duniani

Tukio hilo limetokea wakati wa majibizano kati ya Jeshi la Polisi na Wanawake wa chama hicho

Mapema leo, Jeshi la Polisi lilitoa taarifa ya kuwataka Wanawake wa ACT Wazalendo kusitisha shughuli zao na kuwaomba waungane na Wanawake wengine kwenye maadhimisho ya kitaifa
 
TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
7,329
2,000
Kwa sasa wanahabari wa Tanzania kama wapo uwanja wa vita, ukipigwa risasi -kwaheri, ukipona na ukatoka basi angalia story yako inaegemea upande gani wa adui au wa jamaa waliokuvisha PRESS combat.
 
Johnny Impact

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
2,236
2,000
Ila ingefanya mimama ya CCM ingekuwa sawa.
Wangeoneshwa mpaka TBC. Hii nchi ishakuwa ya chama kimoja.
Yule jamaa ni msengerema sana anafikiri SSM itaongoza milele. Ajira 4567 na wahitimu wapo zaid ya laki 1. Tangu 2015-2017 hajaajiri.
 
zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
1,683
2,000
George Mwigulu wa Gazeti la Majira amekamatwa wakati akiupiga picha msafara wa Wanawake wa Chama cha ACT Wazalendo

Wanawake hao walikuwa katika shamrashamra za kusheherekea siku wa Wanawake Duniani

Tukio hilo limetokea wakati wa majibizano kati ya Jeshi la Polisi na Wanawake wa chama hicho

Mapema leo, Jeshi la Polisi lilitoa taarifa ya kuwataka Wanawake wa ACT Wazalendo kusitisha shughuli zao na kuwaomba waungane na Wanawake wengine kwenye maadhimisho ya kitaifa
Tatizo tumekuwa watukutu sana hatutaki kutii sheria bila shuruti. . .....wacha polisi watushurutishe. .. . ... tusipende kulaumu bila kufanya uchunguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
zipompa

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
6,572
2,000
polisi mkoa wa katavi ni wapuuzi,Nahisi mkuu wao anamiliki leaving cert. tu

rushwa, uonezi, upumbavu ni wao tu
 
BabaDesi

JF-Expert Member
Jun 30, 2007
3,905
2,000
George Mwigulu wa Gazeti la Majira amekamatwa wakati akiupiga picha msafara wa Wanawake wa Chama cha ACT Wazalendo

Wanawake hao walikuwa katika shamrashamra za kusheherekea siku wa Wanawake Duniani

Tukio hilo limetokea wakati wa majibizano kati ya Jeshi la Polisi na Wanawake wa chama hicho

Mapema leo, Jeshi la Polisi lilitoa taarifa ya kuwataka Wanawake wa ACT Wazalendo kusitisha shughuli zao na kuwaomba waungane na Wanawake wengine kwenye maadhimisho ya kitaifa
...lakini kunaaa mambo mengine huwa tunajitakia. Haya yalikuwa ni maadhimisho ya kitaifa. Hawa akina mama wa ACT si wangeweza tu kuungana na wenzao na wakajitofautisha tu na Sare zao?
Kwa nini walitaka kuandamana kivyao vyao??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Jun 6, 2012
5,673
2,000
...lakini kunaaa mambo mengine huwa tunajitakia. Haya yalikuwa ni maadhimisho ya kitaifa. Hawa akina mama wa ACT si wangeweza tu kuungana na wenzao na wakajitofautisha tu na Sare zao?
Kwa nini walitaka kuandamana kivyao vyao??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Geita wamama was Ccm wamefanya was Chadema wakazuiwa .... Wakichofanya baada ya kuzuiwa ..wakaenda ukumbi waliomo Ccm Bawacha wakazamia kwa maccm ya kike polisi wakapigwa butwaa ... Nini hiki kinatokea hapa ....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom