Habar wadau,muda mrefu kituo hiki kilikua kina onyesha picha zisizo na muonekano mzuri na sauti pia,leo nimeangalia kwakweli niwape pongezi, ushauri nao wapa mngejitahidi vifaa vya kurusha...
Jamani tusaidiane ni kweli nimeshuhudia siku ya msiba wafiwa wale muhimu unajianda kwa ajili ya mazishi?
1.mwanaume wanaenda kupunguza nywele.
2.wamama saloon kuweka mawigi.
3.suti zinanunuliwa...
Nimekuwa nawaza sana suala kama hili tokea zaman,
Kuna wazee wangu nimekutana nao zamani wa makamo ya miaka kama 70+
Wanasema kwamba kama una mipango ya kufanya kesho yake,
Kama interview...
Mpaka sasa matokeo ni kama ifuatavyo.
JS .SAURA 2 - SMB 0
APDATES
Mpira ni mapumziko hakuna kilicho badilika kwenye score body
APDATES
Score body imebadilika kama inavyo onekana Js...
Mirerani. Umoja wa Wanawake Wachimbaji Madini ya vito nchini (Tawoma) Tawi la Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wamewataka wanawake wanaoficha madini kwenye sehemu zao za siri kuachana...
Ndugu wanajanvi wenzanu, napendekeza Bunge la JMT litunge sheria ya kumwamrisha CAG kukagua matumizi ya pesa za makanisa na taasisi za dini zote.
Sababu
- hizi ni public funds, kwa sababu ni...
Kadhia ya bilionea kijana imeisha ikiacha maswali mengi kuliko majibu... Hakuna haja ya kuyarudia, yameshajadiliwa sana... Kadhia hii ilikuwa na episodes mbili muhimu
1. Kupotea alfajiri
2...
Kuna kanisa moja nilihudhuria ibada yao wanakuambia kuna sadaka ya kujimaliza yaani utoe hela zote ulizonazo ili uweze kugusa moyo wa Mungu huku wewe ukirudi home kwa mguu/ kupata muujiza wa...
Kampuni ya Azam Marine na Kilimanjaro Fast Ferries kwa kupitia Mamlaka ya Usafiri Baharini (ZMA) pamoja na taarifa kutoka Mamlaka Ya Udhibiti wa Hali ya Hewa (Zanzibar) inapenda kuwatangazia...
Kuna hii issue ya mikataba ya mababu zetu walioingia na shetani. Kwa mfano unakuta uliingia ili mfanikiwe ni lazima mtoe kafara na kumwagia damu kwenye rupia sasa mimi nisipofanya hivyo madhara...
Habari wana JF! Ebwana kumbe pesa sio kila kitu, mtu tajiri baada ya kugundua ana kibamia kaamua kwenda kufanya upasuaji ili aongeze uume mwisho ukawa ndo umauti wake. Wanawake please msitupe...
Nimemsikia mtangazaji wa Clouds Gadner Habash akisema Kibonde rip aliandikiwa dawa ambazo walitakiwa wakanunue Pharmacy.
Gadner anasema alizunguka Bukoba nzima kwa Taxi muda wa saa 4 usiku lakini...
Nimefuatilia tangu ndugu huyu aamue kurudi Ccm na pirika pirika zinazoeendelea juu yake, kuna wimbi la watu ambao ni kama walikuwa wamesinzia ama kulala ndani ya Ccm, ambao kwa sasa ni kama...
1.mlipe pesa zaidi ya anachokitaka wengi wao wanataka 30000-40000 sasa wewe mpe 50000-100000 itategemea na uwezo wako.
2.chagua binti ambaye akili yake haijatimia 100%,hapa tuelewana ,chagua binti...
Habari,
Naomba ku share tukio la jana ktk mkoa fulan hapa bongo
SAA 9 ALASIRI
Nikiwa nmefura kwa hasira namna system ya OTEAS ilivokuwaa inanipa tabu mimi na wezangu kadhaa napigiwa simu na mama...
Nikiri tu wazi kwamba mahakama imempendelea sana mwalimu Respicius Mutazangira ukilinganisha na mauaji ya kikatili aliyoyafanya dhidi ya mtoto mdogo yatima asiyeweza kujitetea.
Kitendo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.