"Wanaotengeneza ARVs feki nitakufa nao":EFRAHIM KIBONDE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Wanaotengeneza ARVs feki nitakufa nao":EFRAHIM KIBONDE

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Judi wa Kishua, Oct 30, 2012.

 1. Judi wa Kishua

  Judi wa Kishua JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 180
  Mtangazaji machachari wa kipindi cha Jahazi cha Clouds Fm..Efrahim Kibonde leo jioni kwenye kipindi ametangaza vita na wote waliotengeneza na kusambaza dawa bandia za kurefusha maisha kwa wahathirika wa HIV/AIDS...Akizungumzia sakata ilo kwa sauti ya uchungu na hasira tofauti na kawaida yake ambapo amezoeleka kuongea kwa mzaha alisema,namnukuu..."wale wote waliotengeneza na kusambaza ARVs feki nitapambana nao mpaka ajulikane tatizo ni nani na achukuliwe hatua,alijalisha hili na halitoisha ivi ivi ili..waingereza wanasema they should shall suffer the consequences"..mwisho wa kumnukuu.

  Kwa niaba ya JF natoa pongezi kwa ndugu yetu Kibonde kwa kuonyesha moyo wa upendo na kujali kwa ndugu zetu wahathirika...naomba wengine pia mjitokeze kumpa pongezi.
   
 2. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Sijui atatumia methodology gani ili kupambana na hao wahalifu ili wasije wamam-barlow! anyway, tunamuunga viungo!!
   
 3. M

  Mtoto wa tembo Senior Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpaka yamfike ndio aone sababu ya kulikemea???yamekufika kaka kumbe na wewe ulimeza hizo feki....sasa subiri warning kutoka mjengoni ndio utjua kua jeykey ni kwere.huna ubavu wa kuwagusa hao wauaji wewe pambana na birthday party ya mjengoni.
   
 4. Judi wa Kishua

  Judi wa Kishua JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 180
  tumuunge mkono kwa kweli..kama ungemsikiliza alivyokuwa anaongea kwa uchungu ingekugusa sana ndugu..anaonyesha kweli kadhamiria kupambana na waharifu hawa.
   
 5. Judi wa Kishua

  Judi wa Kishua JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 180
  tumuunge mkono ndugu..anaonekana amedhamilia kweli kweli kupambana 'ama zake ama zao'.
   
 6. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kumpa pongezi hilo liko wazi. Sema wewe unatafuta umbeya mwingine.
   
 7. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  yaani tz ni balaa, badala ya kusaidia namna ya kuwaokoa hawa wahanga wananchi wenzetu wenye ugonjwa mtu
  anadiriki kuwamalizia kabisaaaa....
   
 8. Judi wa Kishua

  Judi wa Kishua JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 180
  tumsapot ndugu yetu Kibbs..
   
 9. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Muhusika kapewa uongozi chama tawala nahisi kama changa la macho maana watanzania si tunafanywa matoi tu.
   
 10. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Kwani hajui ccm ndipo ilipo tufikisha?
   
 11. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Ameongea kwa uchungu kibonde inauma sana ndani ya nchi yetu tunafanyiwa kama wanyama kwa maslahi ya wachache sina imani na serikali hii mwenzenu.


  Nayanda.
   
 12. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Atleast nawe umepata uchungu, maana kwa kuropoka hujambo. Hilo lina direct impact kwako ndo maana watu wana sympathy kwako. Pole ndugu ki-valley. No offense kwa waathirika though.
   
 13. C

  Chiya Chibi JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tatizo lake ni mnafiki sana huyu Bwana, leo kasema hvyo si ajabu kesho akabadirika. Yee huwa haungi mkono mambo yanayolalamikiwa na jamii hasa yatakayo wahusu viongoz flan wa serikal ama CCM, Leo yamemkuta ye binafs anataka aungwe mkono..! Anyway nipo pamoja nae ktk hilo, huenda ndo anabadir tabia yake ya kinafki.
   
 14. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kibondeeee...kulikoni ARVs tu wakati dawa feki za malaria ndiyo zinazoongoza kwa wingi kuingizwa nchini? mhhh pana namna hapa...
   
 15. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hapa najua kuna watu wanataka jambo flan ..................ili tuingie mkenge
  machale yananicheza........
   
 16. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mkuu hata mimi nimeshtukia hii kitu.
   
 17. k

  kindafu JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280

  Hapo kwenye nyekundu ni tafsiri yako huru au umemnukuu yeye?
   
 18. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hahahahahah et kibonde amepania kupambana na wahalifu, makubwa !hatak ofa za besidei za mkulu...
   
 19. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  kwahiyo wanafunzi wanaolala njaa na kuamua kuandamana kudai haki zao mbona kibonde anawakashifu, mbona madaktari wakidai huduma bora kwa wagonjwa mahospitalin kibonde anawatukama, mi simungi mkono huyu kama nae ni kati ya walio bwia hizi arv feki ndo ajue kua watanzania tunamatatizo na asizalau tatizo la mtu
   
 20. Judi wa Kishua

  Judi wa Kishua JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 180
  nimemnukuu..sijaongeza wala kupunguza neno.
   
Loading...