Kitu gani kinachokufanya ujivunie kuwa wewe

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,915
24,676
Kitu gani kinachokufanya ujivunie kuwa wewe?

Binafsi sina mali, gari, pesa wala nyumba ila uwezo wangu huu wa kuzichanga ili nisilale njaa kuanzia ya chakula mpaka papuchi ndio pekee unaonifanya nijivunie kuwa mimi wewe je?

CC Zero IQ
 
"We my be equal but not the same" One person my ask "And what make You different" Thats is me

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu gani kinachokufanya ujivunie kuwa wewe?

Binafsi sina mali, gari, pesa wala nyumba ila uwezo wangu huu wa kuzichanga ili nisilale njaa kuanzia ya chakula mpaka papuchi ndio pekee unaonifanya nijivunie kuwa mimi wewe je?

CC Zero IQ
Tafadhalini msifznye makosa hayo eti "kujivunia" !! Usijiwekee limits au umimi..... Historiya ishatuonesha matukio na fedheha za hao..!!
 
Back
Top Bottom