BODI YA MIKOPO YAKUSANYA BIL 120/- KWA WANUFAIKA

esther mashiker

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2018
Posts
616
Reaction score
555
1552049448333.png

KATIKA kampeni ya ukusanyaji madeni ya miezi minane, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imekusanya zaidi ya Sh bilioni 120 kutoka kwa wanufaika nchi nzima. Mkurugenzi wa Ukusanyaji Mikopo wa HESLB, Ignatus Oscar alisema jana kuwa bodi ilipanga kukusanya zaidi ya Sh bilioni 180 ikapo Juni mwaka huu kutoka kwa wanufaika wote wa mikopo ya bodi hiyo.

“Baada ya kuainisha kampeni nchi nzima ya kuhamasisha waajiri kukata mikopo ya wanufaika, kumekuwa na mwitikio chanya kwa waajiri na waajiriwa, hali ambayo imetufanya mpaka sasa tukusanye zaidi ya Sh bilioni 120. Oscar alisema kwa miaka mitatu iliyopita, bodi imepata mafanikio katika ukusanyaji wa madeni kwa wanufaika ambao mikopo yao imeiva. Alifafanua kuwa kwa mwaka 2016/2017, HESLB ilikusanya Sh bilioni 116 kukiwa na ongezeko la kiasi kikubwa kutoka Sh bilioni 28 zilizokusanywa kwa mwaka wa fedha 2015/2016.

“Kusema ukweli mafanikio haya tunawashukuru sana wenzetu Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kusaidia kuwatambua wanufaika walioko kwenye sekta isiyo rasmi,” alisema Oscar.

Alisema mbali na changamoto ya kuwatambua wanufaika wa miaka ya nyuma, lakini bado baadhi ya wanufaika wanaona mikopo iliyotolewa na bodi kama ruzuku na si mkopo, hivyo kuweka kipaumbele kulipa kwenye taasisi za fedha walizokopa badala ya mikopo wa HESLB.

“Bodi imekuwa ikitoa mikopo kwa wanafunzi ili kuwawezesha kupata elimu yao, hivyo wana wajibu wa kulipa mkopo huo baada ya kumaliza masomo yao mara baada ya muda wa uangalizi kuisha,” alisema. Aidha, alisema hakuna namna ambako mnufaika wa mikopo ya elimu ya juu atakwepa kulipa mkopo wake. Alisisitiza kwa yeyote ambaye hajaanza kulipa mkopo wake kuanza kufanya hivyo haraka iwezekanavyo. Pia alifafanua kuwa gharama za mkopo zinazolipwa na mnufaika wa HESLB sio riba, bali ni fedha zinazolipa thamani ya fedha zilizokopwa
 
View attachment 1040881

Inaongeza umasikini katika vijana kwa kupunguza 'disposable income' yao hilo linachelewesha huyu kijana kuondoka katika kundi la masikini licha yakua na degree.....kufika kwenye tabaka la 'middle income' bado makato nimengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1040881

KATIKA kampeni ya ukusanyaji madeni ya miezi minane, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imekusanya zaidi ya Sh bilioni 120 kutoka kwa wanufaika nchi nzima. Mkurugenzi wa Ukusanyaji Mikopo wa HESLB, Ignatus Oscar alisema jana kuwa bodi ilipanga kukusanya zaidi ya Sh bilioni 180 ikapo Juni mwaka huu kutoka kwa wanufaika wote wa mikopo ya bodi hiyo.

“Baada ya kuainisha kampeni nchi nzima ya kuhamasisha waajiri kukata mikopo ya wanufaika, kumekuwa na mwitikio chanya kwa waajiri na waajiriwa, hali ambayo imetufanya mpaka sasa tukusanye zaidi ya Sh bilioni 120. Oscar alisema kwa miaka mitatu iliyopita, bodi imepata mafanikio katika ukusanyaji wa madeni kwa wanufaika ambao mikopo yao imeiva. Alifafanua kuwa kwa mwaka 2016/2017, HESLB ilikusanya Sh bilioni 116 kukiwa na ongezeko la kiasi kikubwa kutoka Sh bilioni 28 zilizokusanywa kwa mwaka wa fedha 2015/2016.

“Kusema ukweli mafanikio haya tunawashukuru sana wenzetu Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kusaidia kuwatambua wanufaika walioko kwenye sekta isiyo rasmi,” alisema Oscar.

Alisema mbali na changamoto ya kuwatambua wanufaika wa miaka ya nyuma, lakini bado baadhi ya wanufaika wanaona mikopo iliyotolewa na bodi kama ruzuku na si mkopo, hivyo kuweka kipaumbele kulipa kwenye taasisi za fedha walizokopa badala ya mikopo wa HESLB.

“Bodi imekuwa ikitoa mikopo kwa wanafunzi ili kuwawezesha kupata elimu yao, hivyo wana wajibu wa kulipa mkopo huo baada ya kumaliza masomo yao mara baada ya muda wa uangalizi kuisha,” alisema. Aidha, alisema hakuna namna ambako mnufaika wa mikopo ya elimu ya juu atakwepa kulipa mkopo wake. Alisisitiza kwa yeyote ambaye hajaanza kulipa mkopo wake kuanza kufanya hivyo haraka iwezekanavyo. Pia alifafanua kuwa gharama za mkopo zinazolipwa na mnufaika wa HESLB sio riba, bali ni fedha zinazolipa thamani ya fedha zilizokopwa

Bodi ya mikopo imejaa wanyarwanda wakina Oscar Ignatus hawajui uchungu wa watanzania ndomana wanaweka tozo kwenye mikopo ya wanafunzi angali bado wanasoma na hayo makusanyo wanajivunia ni kutoka kwa watumishi wa serikali lakini sekta binafsi wanapeta. Bodi inashirikiana na mabenki kuwalaghai walimu kuuza mikopo yao kwa benki Hizo yenyewe inajivunia kukusanya lakini walimu wanaumizwa na riba za benki bila kujua. Mtu kama Jembra Kambole hajawahi kulipa mkopo kazi yao kuwaminya watumishi wa umma
 
Back
Top Bottom