Ni vigumu sana kupata mashairi/ Lyrics za Bongo Flavor mtandaoni.

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
56,213
2,000
Tatizo wasanii wa Tanzania hawaandiki mashairi yao na kuyaweka mtandaoni.

Hawajui kuwa msikilizaji au mnunuzi wa kazi zako za sanaa ni mteja wako, na mteja anahitaji huduma ya hali ya juu ikiwemo kupewa au kupata mashairi ya kimaandishi ya nyimbo unazoziimba.

Ndio maana zamani ukinunua original CD au tapes ulikuwa unakuta na karatasi ya mashairi ya nyimbo zote.

Sasa Bongo fleva hawajui haya mambo ila wasanii wa nje wanayajua sana.
 
124 Ali

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
7,672

unadhan hawana akili kabisa?mashairi ya bongo fleva yanaandikika?jaribu " nibebe"kama hijatapika kwa ujuha walioutunga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Robot la Matope

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
5,060
2,000
Jaribu kutumia Shazam, nyimbo nyingi zina lairiksi

Mambo yamekua mengi na Mengi yamekua Mambo
 
Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
6,762
2,000
Wanayoyaimba ni aibu tupu, waandike ili iweje?
Hebu fikiria Juma Nature aandike nini sasa?
Kafungu kayajaza....
mara sijui ugali umefanyeje....
ukikutana na katatasi chini ya lyrics zake unaweza kudhani ni mtoto wa darasa la nne alikuwa anajifunza kutunga nyimbo
 
Zaburi 23

JF-Expert Member
Feb 22, 2017
376
500
Tatizo wasanii wa Tanzania hawaandiki mashairi yao na kuyaweka mtandaoni.

Hawajui kuwa msikilizaji au mnunuzi wa kazi zako za sanaa ni mteja wako, na mteja anahitaji huduma ya hali ya juu ikiwemo kupewa au kupata mashairi ya kimaandishi ya nyimbo unazoziimba.

Ndio maana zamani ukinunua original CD au tapes ulikuwa unakuta na karatasi ya mashairi ya nyimbo zote.

Sasa Bongo fleva hawajui haya mambo ila wasanii wa nje wanayajua sana.
Wavivu sana hao kuna kipindi kiba alikua akitoa ngoma bas na mashaili yanakuwepo chini ya kideo lakini kaachaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Don Clericuzio

JF-Expert Member
Dec 8, 2017
16,965
2,000
Kuhusu matumizi ya mitandao siyo wasanii tu, ni karibia watanzania wengi tuna hilo tatizo.

Angalieni website za makampuni binafsi na ya serikali, unakuta taarifa zilizopo ni za zamani sana.

Kuna kampuni ziko registered lakini kupata latest Financial Reports ni kwenye mtandao ni issue.
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
26,788
2,000
Tukiacha lyrics, hata instrumentals zao pia ngumu kupata mitandaoni hatakwa kuuzwa. Chache sana ndio naziona
 
Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
3,055
2,000
Tena bora wasiweke tutakuwa tunawakaririsha watoto upumbavu, vuta picha unakuta mwanao anakariri mashairi ya Nyegezi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom