kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,687
Watupe pesa zetu hatutaki mbwembwe zaoShirika la Hifadhi ya jamii (NSSF), limefanya mabadiliko katika mfumo wa mawasiliano kwa kuanza utaratibu wa kidigitali katika kutoa na kupokea taarifa kutoka kwa wanachama na wastaafu wa huo.
"zaidi soma kiambatanisho"
Chanzo: NIPASHE
PPF walianzisha huo mfumo. Ex-CEO wa former PPF na Director wake wa ICT wamehamishiwa NSSSF na wote wawili wako vizuri na hivyo kuelekea kufanya maboresho yanayotajwa. Ukisikia mabadliko ya kuleta ufanisi ndiyo hayo.Shirika la Hifadhi ya jamii (NSSF), limefanya mabadiliko katika mfumo wa mawasiliano kwa kuanza utaratibu wa kidigitali katika kutoa na kupokea taarifa kutoka kwa wanachama na wastaafu wa huo.
"zaidi soma kiambatanisho"
Chanzo: NIPASHE
Watu wanataka kulipwa madai yao ndani ya muda mfupi na siyo hizi porojo, watu wamechoshwa na kalenda kama za mahakamaniPPF walianzisha huo mfumo. Ex-CEO wa former PPF na Director wake wa ICT wamehamishiwa NSSSF na wote wawili wako vizuri na hivyo kuelekea kufanya maboresho yanayotajwa. Ukisikia mabadliko ya kuleta ufanisi ndiyo hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Technology ndiyo inarahisisha hayo. Labda uniambie technology ni porojo!!Watu wanataka kulipwa madai yao ndani ya muda mfupi na siyo hizi porojo, watu wamechoshwa na kalenda kama za mahakamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka unamaanisha PSSSF!PPF walianzisha huo mfumo. Ex-CEO wa former PPF na Director wake wa ICT wamehamishiwa NSSSF na wote wawili wako vizuri na hivyo kuelekea kufanya maboresho yanayotajwa. Ukisikia mabadliko ya kuleta ufanisi ndiyo hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app