Baa la njaa Afrika husababishwa na uwepo wa mbegu feki nyingi katika kilimo

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,525
9,327
Katibu Mkuu wa shirikisho la mbegu la kimataifa Bw. Michael Keller, amesema kuingia kwa mbegu feki na zisizo na kiwango barani Afrika, kumefanya hali ya usalama wa chakula katika nchi za Afrika kusini mwa Sahara izidi kuwa mbaya.

Bw. Keller amesema hatua zinatakiwa kuchukuliwa ili kuhakikisha wakulima wadogo wadogo wanapata mbegu bora kwa bei nafuu. Akiongea kwenye mkutano mjini Mombasa, Bw. Keller pia amesema kuna haja ya kupitisha njia ya pamoja ya kuhakikisha kuwa wakulima barani Afrika wanapata mbegu rasmi zinazohimili wadudu, magonjwa na mabadiliko ya hali ya hewa.

Wakati hayo yanajiri mjini Mombasa imefahamika kuwa wazimbabwe milioni 7 wanakabiliwa na njaa kwa mwaka huu kutokana na ukame, na watahitaji msaada wa chakula. Idadi hiyo ni nusu ya wazimbabwe wote.

Swahili cri
 
Fursa ya soko la mahindi Zimbabwe.
 
Tuna ya kujifunza kwa kweli......kuna nchi kama israeli...ina jangwa, wanapigana kila siku ....hatujawahi kusikia wana njaaa....ila ukija sasa huku gizani....tuna ardhi yenye rutuba pengine haitumii hata mbolea....ila balaa la njaa ni karibu kila mwaka...aibuuuu
 
Katibu Mkuu wa shirikisho la mbegu la kimataifa Bw. Michael Keller, amesema kuingia kwa mbegu feki na zisizo na kiwango barani Afrika, kumefanya hali ya usalama wa chakula katika nchi za Afrika kusini mwa Sahara izidi kuwa mbaya.

Bw. Keller amesema hatua zinatakiwa kuchukuliwa ili kuhakikisha wakulima wadogo wadogo wanapata mbegu bora kwa bei nafuu. Akiongea kwenye mkutano mjini Mombasa, Bw. Keller pia amesema kuna haja ya kupitisha njia ya pamoja ya kuhakikisha kuwa wakulima barani Afrika wanapata mbegu rasmi zinazohimili wadudu, magonjwa na mabadiliko ya hali ya hewa.

Wakati hayo yanajiri mjini Mombasa imefahamika kuwa wazimbabwe milioni 7 wanakabiliwa na njaa kwa mwaka huu kutokana na ukame, na watahitaji msaada wa chakula. Idadi hiyo ni nusu ya wazimbabwe wote.

Swahili cri
Ujinga tu.

Afrika tumeletewa pombe tunywe tulewe wenzetu watutawale. Mbegu bora zinatushinda nini kuzalisha sisi wenyewe mpaka tungoje za kuletewa?
 
Back
Top Bottom