Nikimkumbuka Mange, Slaa na Lowasa naishiwa nguvu za harakati

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,294
13,848
Mzuqa

Yani DA Mange kimya hata safari ya lissu Marekani hakuzungumza chochote. Hela bana. Halafu wanakubali kupokea hela ya walipa kodi.

Msaliti Slaa naye alipokea hela ya walipa kodi akabakia kulishwa maneno kama zuzu.

Dah Lowassa laiti asingekuwa na traits za meru yani heshima kwake ingeshuka sijui ila wameblackmail tu.

Ila Lowasa kurudi tena CCM imenivuruga sana akili nakunifanya niichukie mara dufu hiki chama.

Yani DA Mange kwa mpole anatafuna tu hela ya walipa kodi aliyopewa.

Tanzania chini ya CCM siyo nchi ya kujivunia!
 
Mange Akili kubwa utakuja kuniambia siku hela zikimuisha wasimpe tena.

Anawachora tu na amefanikiwa kucheza na akili ya CCM.

Dada yule ana kipawa sana cha ushawishi na kutumia fursa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom