Maisha ndani ya Syria

Maisha ndani ya Syria

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
4,510
Reaction score
6,893
wadau,
Ni miaka mingi sasa imepita toka yaliyokuwa maandamano ya amani ya kumtaka rais assadi kujiuzulu yalipogeuka kuwa vita isiyoisha.

Kila Siku tukitazama TV tunaona kama sio madege ya serikali ya Syria basi ni madege ya urusi,Israel na hatsa uturuki yakiporomosha makombora .

Sasa nauuliza hivi huko Syria kweli kuna shughuri zozote za kimaisha zinaendelea kama vile kuoa,kulima,biashara,ujenzi,
matamasha ya muziki nk.
 
Sasa nauuliza hivi huko Syria kweli kuna shughuri zozote za kimaisha zinaendelea kama vile kuoa,kulima,biashara,ujenzi,

sasa hivi kumetulia sana....lakini zamani ilikuwa hivi. Uko kwenye daladala unaenda kutafuta riziki unapishana na makombora!

Waone vile vile wasyria wamepitia mengi ya kutisha
 
Katika viumbe wenye roho ngumu ni waarabu,yani yote unayoyaona jua maisha mengine yanaendelea kama kawaida
Ahssante kea mchango Hadi..ila usipende kujumuisha (tumia neno baadhi) Never generalize!!
Shukran
 
Chimbuko la ushoga ndipo lilipoanzia hapo Syria Sodoma na Gomorrah. Hata wale malaika wawili walipokea kwa lutu halaiki ya wanaume wazee na vijana waliizingira nyumba ya lutu wakitaka kuzini nao. Malaika walimaindi kichizi ikabidi waharakishe mishen haraka tofauti na ratiba Ilibidi waichome Sodoma kesho yake.

Lutu na familia yake walivoondoka tu malaika walitembeza mkong'oto mkali sana kabla ya kuchoma
 
Unaihusisha nalaana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom