hii picha inasikitisha sana,mnooooooo

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
aisee yaani bado tunachukua misaada ya MABEBERU,wanaosapoti ushoga,si tulikataa kushiriana nao hawa majaaa jamani?mbaya zaidi ni kutoka ujerumani ,nchi ambayo mzalendo Musiba alitutaarifu kwamba inasomesha magaidi ya chadema kupitia kwa balozi wake aliyepo hapa nchini
INASIKITISHA SANA,NIMESONONEKA.hata ambulance tunapewa na mabeberu wakati chi tajiri hii tena donor country?
beberu.PNG
 
aisee yaani bado tunachukua misaada ya MABEBERU,wanaosapoti ushoga,si tulikataa kushiriana nao hawa majaaa jamani?mbaya zaidi ni kutoka ujerumani ,nchi ambayo mzalendo Musiba alitutaarifu kwamba inasomesha magaidi ya chadema kupitia kwa balozi wake aliyepo hapa nchini
INASIKITISHA SANA,NIMESONONEKA.hata ambulance tunapewa na mabeberu wakati chi tajiri hii tena donor country?View attachment 1040925
Nimesononeshwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ningeshaufuri kuwe na kitengo cha kuchunguza hii misaada kutoka nje.

Naamini kabisa Halmashauri yoyote hapa Tanzania ina uwezo wa kununua gari la wagonjwa kwa kutumia bajeti ya serikali au hata kwa kukopa, Ni ngumu sana kuelewa kwa upana wake hao wanaokuja kutoa misaada kwetu wanapitia mchakato gani huko kwao kama hujaitafiti mienendo yao.

Hawa sio wema kiasi hicho, vinginevyo wangeanzia kwao ambapo pia kuna wanaohitaji na wanalalamika. Sipendi kabisa kusikia neno wafadhiri kwani ni makundi ya watu wachache wajanjawajanja wenye ushawishi wanaounda NGO huko kwao ulaya ili kujikimu wao kwanza.Ni mfano wa ile NGO inayojiita SOS iliyokodi meli kabisa kwenda kutafuta wahamiaji haramu kwenye pwani ya Libya na kuwapeleka Italia au Hispania kwa kujidai kuwa wanawaokoa.
 
Alafu piga picha jinsi beberu alivyosafirisha kwenye meli, kodi bandarini tena ukute amelipa port staying charge, insurance, drivers to Arumeru, kodi nk

Bado beberu anaendelea kuvaa T-shirt imeandikwa 'WE FOR AFRICA"
 
Kuna jamaa flan mghana nilishawahi kumsikia akisema ukisoma kwenye Oxford dikshenari original veshen maana ya neno Black ni WEAK siyo Dark. Ila wanajaribu kutufurahisha na hizi dikshenari new edition eti ni Dark
 
aisee yaani bado tunachukua misaada ya MABEBERU,wanaosapoti ushoga,si tulikataa kushiriana nao hawa majaaa jamani?mbaya zaidi ni kutoka ujerumani ,nchi ambayo mzalendo Musiba alitutaarifu kwamba inasomesha magaidi ya chadema kupitia kwa balozi wake aliyepo hapa nchini
INASIKITISHA SANA,NIMESONONEKA.hata ambulance tunapewa na mabeberu wakati chi tajiri hii tena donor country?View attachment 1040925
Viongozi wetu wakiona wazungu wanakuwa kama fisi ameona nyumbu mgonjwa.
 
Chezeya Beberus Mkuu, kamwe huwezi kushindana nao UPENDE USIPENDE.

aisee yaani bado tunachukua misaada ya MABEBERU,wanaosapoti ushoga,si tulikataa kushiriana nao hawa majaaa jamani?mbaya zaidi ni kutoka ujerumani ,nchi ambayo mzalendo Musiba alitutaarifu kwamba inasomesha magaidi ya chadema kupitia kwa balozi wake aliyepo hapa nchini
INASIKITISHA SANA,NIMESONONEKA.hata ambulance tunapewa na mabeberu wakati chi tajiri hii tena donor country?View attachment 1040925
 
aisee yaani bado tunachukua misaada ya MABEBERU,wanaosapoti ushoga,si tulikataa kushiriana nao hawa majaaa jamani?mbaya zaidi ni kutoka ujerumani ,nchi ambayo mzalendo Musiba alitutaarifu kwamba inasomesha magaidi ya chadema kupitia kwa balozi wake aliyepo hapa nchini
INASIKITISHA SANA,NIMESONONEKA.hata ambulance tunapewa na mabeberu wakati chi tajiri hii tena donor country?View attachment 1040925
Mkikua mtaacha ujinga
 
Back
Top Bottom