Habari wanabodi:
Kwa mtu yeyote aliyewahi kuwa mwalimu atafahamu kwamba kuna kipindi walimu hupitia katika maisha magumu sana, wengi wana mikopo mikubwa, wana familia na ukizingatia wengi...
Kile chuo cha DSJ cha Ilala mara nyingi wanaenda waliofeli kidato cha nne au sita sawa na kada ya ualimu wa level zote iwe msingi, sekondari au chuo kikuuu. Sasa kile chuo ndio alichokuwa...
Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa leo Machi 9 kwa mara ya Kwanza amekaribisha Wilayani Monduli akiwa Kada wa Chama cha mapinduzi baada ya Kuondoka Chadema wananchi na makada wa ccm wamempokea...
Habari wakuu
Ninajishughulisha na biashara ya m- pesa na tigo pesa ( haina mda mrefu) ambapo kwa siku za nyuma niliajiri kijana aliyehudumia hapo hadi mwisho wa mwezi wa pili 28/02/2019. Baada ya...
Tanesco Morogoro mnakera sana ni siku ya nne sasa mmekuwa mkikata umeme na kuwasha mnavyojisikia nyie nyakati za usiku na wala hamtoi taarifa kama kuna tatizo na mbaya zaidi mkipigiwa simu kitengo...
Viongozi tukumbushane, unakwenda kununua gari, kwa mtu (sio show room), kitu cha kwanza kadi, pili mkataba,
Unaweza taja kitu kingine. Lengo ni kuhakikisha hakuna nafasi ya kutapeliwa. Tushauriane
Wanajamvi kuna mambo yanakera anakuja mtu unaeheshimiana nae sana,anaomba mkopo let say anataka laki tano Na unampa huku akiahidi kukupatia ndani ya siku mbili.
Lakini kifuatacho baada ya kumpa...
Waliofariki na kujeruhiwa ni Wafanyakazi wa kampuni ya Chai yaEast Usambara Tea Company(EUTCO) na ajali hiyo imetokea katika Kijiji cha Shebomeza
Imeelezwa kuwa Dereva wa Lori hilo, Jonson...
Hawa Jamaa wamezidi kuwa wezi. Uwizi wao umekuwa Wa kiwango cha juu sana. Leo wameamua iwe siku maalaum ya kuibia watejawao.
Sent using Jamii Forums mobile app
MKURUGENZI wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Geofrey Mwambe, ameagiza serikali za Wilaya za Siha, Hai na Moshi kuhakiki upya maeneo yote yaliyotengwa kwa ajili ya uwekezaji na kupeleka...
Jamani hili swala pia usikute kuna wanaojiuliza pia hivi toka kuzikwa KANUMBA 2012, bado kuna sehemu kweli?
Hapo kati hakuna waliokufa?
Au haya makaburi wanazikwa watu maarufu tu?
Au ni mechanism...
Simaanushi uwe unatangaza kila uhusiano wako ila pigania kuolewa, MFANO WA NANDY, lipindi cha skendo ya bilnass alisema ana mtu wake mwingine kumbe ndio alikua RUGE, hivi asingeumwa wangapi...
Ni aibu iliyoje mtu unampa mimba mkeo au hawara yako kwa starehe zenu halafu unashindwa kuandaa mahitaji (vitu) ya/vya mama kujifungulia angalau elfu 50 tu ndani ya miezi 9 ya mimba.
Cha ajabu mtu...
Serikali na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) zimesaini Mikataba miwili ya mkopo wenye masharti nafuu wenye thamani ya Dola za Marekani milioni 256.2 utakaotolewa na Benki hiyo (takribani...
Sioni mantik ya magari ya Transit ya kubeba mafuta na mizigo toka Rwanda kuwa left hand ihali asilimia 80 ya safari (distance) ya magari haya hutembea kwenye ardhi ya Tanzania ambayo kwa nadharia...
Nmekua nikijiuliza sana hizi chale ziatokea wapi, inatokea nalala sina alama ila kesho nakuta eneo ambalo lilikuwa halina alama kesho yake limechanjwa na kitu kama viwembe kwa mbali, sio Mara moja...
WADAU SASA NAONA UMEFIKA WAKATI WA MTANGAZAJI MAARUFU NCHINI BWANA EPHRAHIM KIBONDE AKAENDA KUTANGAZA NA KUENDELEZA KIPAJI CHAKE KATIKA VYOMBO VYA HABARI VYA KIMATAIFA KAMA VILE BBC na DEUTSCHE...
Wafanyakazi wadai PAYE ni mzigo mzito kwao, wataka kodi hiyo ipunguzwe katika bajeti ijayo, wapendekeza maeneo ya kodi mbadala...
Chanzo: NIPASHE
"soma kiambatanisho"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.