Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama leo Babu wa Loliondo atarudi na tiba yake ya dose ya kikombe ni wangapo wataenda tena kupat tiba hiyo? Babu masapile mnyakyusa aliyekaa loliondo kwa kipindi kirefu baada ya kustaafu...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Huyo mdada Mkenya akishiriki mashindano ya Olimpiki kwenye barafu huko Ulaya, sasa najiuliza anajifunzia wapi? Halafu isitoshe kama anashinda kwenye hayo mashindano inakuwa na maana gani kwa nchi...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Juzi asubuhi wakati nipo maeneo ya Kibamba Chama Jijini Dar,huku watu/abiria wakisubiri daladala kuelekea maeneo mbalimbali ya Jiji kwa mihangaiko yao,baadhi tulikuwa kijiweni kwa shughuli zetu za...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Mara baada ya Ndege ya Ethiopia kupata ajali..Naona kumekuwa na usitishwaji wa kampuni ya Boeing baadhi ya nchi mbali mbali TAZAMA China imeyaagiza Mashirika ya ndani Ndege nchini humo kusitisha...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndugu watanzania tuishinikize ccm na serikali yake kuanzisha mchakato wa katiba mpya kwa hiari na kwa muda huu ambapo bado kuna kizazi cha waoga! Ccm na serikali yake wasisubiri uoga uwatoke...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
LEO NIPATA KUJUA KUA NINACHANGIA 1% YA GROSS SALARY. NILIKUA SIJUI KITU HII. KUNA YEYOTE AMENUFAIKA NA HII KITU? KAMA HUNA IMAN YA UVUMILIVU HUIPAT HII... Hatua za kufuata baada ya tukio la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu Jana niliingia kijiji kimoja wilayani ikungi karibu na mpaka wa tabora ,kijiji kinaitwa magungumka. Kijiji hiki kimechangamka sana na hata mzunguko wa biashara ni mzuri sana kwani kuna...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ninasikitishwa sana na ukimya wa Mwenyekiti wa CDM Mbowe juu ya uamzi wa pinduapindua wa Edward Lowasa kurejea CCM wakati yeye akiwa jela. Kuendelea kukaa kimya hata baada tukio hili kubwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada mh ni mtumishi wa umma km wengine tu,analipwa mshahara kwa kawaida kwa mtumishi yoyote mshahara uwa haukidhi mahitaji kamwe. Sasa mh Rais km walivyo watumishi wengine...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Tips pub Mikocheni inaonekana sio sehemu salama sana sasa baada ya jamaa anayejulikana kama Andy Senkoro kuchomwa kisu mithiri ya kuchinjwa kwenye pub hiyo Sasa yupo ICU Muhimbili tumuombee…...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Jacob Mushi ni Mwandishi (Author), Kocha wa Mafanikio(Success Coach), na Mjasiriamali. Kiu yake kubwa ni kuona wewe unakuwa mtu bora, unatimiza ndoto zako na unaishi Maisha ya mafanikio. Kwa...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wakuu Jana wakati narudi home majira ya jioni njiani nilikuwa nasikiliza radio kile kipindi cha Amplifaya cha Clouds Fm, kinachoendeshwa na mtangazaji Millard Ayo Katika zile story zake...
1 Reactions
77 Replies
12K Views
BILA CLOUDS HAKUNA STAR YEYOTE ANGETOKA. . @josephkusaga anaeleza kwamba nchi hii iliweka ugumu sana kupokea muziki wa kizazi kipya. Anasema baada ya kuona muziki wa vijana unakataliwa kwenye...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Asalaam alaikum jaman kwa wenyej wa mwanza naomben msaada nakuja mwanza inshaalah kesho hotel nzur isizid elf 40 na nahitaj mwenyeji atakaentembeza Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Mahakama ya wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam imemuachia huru, Isidory Karume (57) aliyekuwa akikabiliwa na shtaka la kukutwa akimiliki risasi mbili baada ya kubainika sheria...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Swali kwa madaktari/Wajuvi naomba mnijuze, Hivi ikikitokea mtu amepata ajari/damage ya kichwa na kupata madhara ya kufuta kumbukumbu zake zote yaani kila kitu kimefutika kichwani(Kama ni memory...
1 Reactions
7 Replies
846 Views
Tanzania hivi karibuni kumesikika habari nyingi mbaya za watoto wadogo kupotea. Tusikiapo habari hizo mara nyingi tunazihusisha na mambo ya kishirikina. Sikatai, ushirikina upo na kwa kiwango...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Kwako mmiliki wa hiki kituo popote ulipo Kuna kijana moja umeajiri leo imebidi nitafute na jina anaitwa Magafu Atakufukuzia wateja mapema kama una sehemu nyingine ama kazi za nyumban mpatie...
11 Reactions
69 Replies
12K Views
  • Closed
Ilo shirika ni shirika kubwa sana hapa Africa na duniani kote ila lina tabia chafu na mbaya tabia yao ya kupachikana kwenye nafasi za kazi inakera sana...... Watu tunafunga safari kutoka mikoani...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari wana JF. Ni takriban miezi mitano tu imepita tangu kutokea ajali mbaya ya ndege ya shirika la LION AIR la Indonesia, aina ya BOEING 737 MAX 8. Jana Jumapili tarehe 10/03/2019 inatokea...
11 Reactions
50 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…