Mwalimu James mwanginde ambaye alikuwa mwalimu shule ya sekondari ilunga mbalizi mbeya na baadae kwenda Udom
Amepata ajari Leo chimala Mbeya na kupoteza maisha hapohapo akitokea morogoro huku...
Juzi ijumaa nilikutana na mtoto mkali kwenye club tukakubaliana kwamba Jumamosi aje kunitembelea. Sasa kuanzia saa saba Jumamosi nikaanza kutumika imenitoka Tsh. 60,000 kuanzia vinywaji, nyama...
Inasemekana uchawi wa kutisha unahistoria ndefu Africa na ulikuwepo enzi na enzi hadi sasa inasemekana bado uchawi upo. Lakini tukirudi katika enzi za mababu zetu kipindi ambacho wakoloni wanaanza...
Lengo la uzi huu ni kupiga kelele kwa Serikali kiziwi kuhusu suala la usafiri wa mwendokasi.
Hapo awali yale mabasi yalipoanza kufanya kazi kiukweli ilikuwa ni suluhisho sahihi sana yalikuwa...
Mchana huu nyumba imeteketea kwa moto huku Saku mbagala mida ya Mchana yaaani mpaka gari la Zimamoto linafika Eneo la ajali nyumba ilikwisha teketea yote,lakini cha kushangaza ni lini huduma...
Wakuu mtusaidie sisi vijana wa 90s .
Huyu jamaa alihusishwa na mabilioni, sijui alikwapua benki au vipi?
Nilikuwa nasikia sikia tu story zake .
Pasco Na wengine ,mtujuze profile ya huyu jamaa...
Je, unahisi ratiba yako ina mambo mengi sana? ikiwa ndivyo hauko peke yako. "kila mahali, kila mtu anaonekana kuwa na shuguli nyingi sana."
ikiwa tuna kawaida ya kujitahidi kufanya mengi kuliko...
Kila baada ya lisaa kunitumia matangazo ya biashara kwenye simu yangu ambayo sina habari nayo
Namba yangu ya simu wanaifanya kuwa sehemu ya kutangazia matangazo bure wakati makampuni husika wao...
habari wadau..
hivi hii hali ya mwendokasi.. Rais haioni kweli..
Watu wanaotumia haya ma bus wana teseka sana
Rais najua una kazi nyingi... na ni mzalendo wa kweli.. please vunja mwendo kasi hii
Habari zenu wadau,
Ningeomba tupeane fikra kwa hoja zilizo shiba juu ya hii mada ili walau tujitanue kimawazo. Kuna siku katika pitapita zangu niliona vijana wakibishana juu ya hizi dhana mbili...
Kuna vitu vingi vya kushangaza lakini vipo pia vinavyoonekana ni vya kawaida lakini vinashangaza kutokana na matumizi yake.
Naomba nieleweke mapema kuwa sipingi suala la masihara ila ninachokiona...
Wale wenye tabia kama ya Mbuni kufukia kichwa chini wakati mwili wote unaonekana, bandiko hili haliwahusu.
Kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya ni kwamba hapa Tanzania kuna watu wana tabia ya...
Mwanamke anayetimiza wajibu wake akitetea haki yake watu hawashangai na asipotimiza wajibu wake anahesabika kama mwanamke mkorofi.
Hii ni kauli ya Bi. Ziwena Omary Katibu Tawala wa Wilaya ya...
Kipande System ni mfumo uliokuwepo Kenya kipindi cha ukoloni, ambapo kila mtu mwenye umri wa kuanzia miaka 18 alilazimika kulipa kodi na kuwa na kitambulisho cha kazi ambapo ilikuwa ni lazima...
Selcom iliyoingia mkataba wa kusaidia kuuza token za umeme kuisaidia TANESCO; lakini cha kushangaza hili kampuni kupitia huduma ya kuuza umeme limekuwa na ukajanja mwingi.
1. Ikifika mwisho wa...
Serikali imesema halmashauri itakayoshindwa kukusanya mapato ya ndani na kushindwa kufika asilimia 80% itafutwa.
Lengo ni kutaka halmashauri ziwe na makusanyo makubwa ziweze kujiendesha kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.