Na mpango wa kuwashitaki Tigo Tanzania

Na mpango wa kuwashitaki Tigo Tanzania

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,674
Reaction score
3,741
Kila baada ya lisaa kunitumia matangazo ya biashara kwenye simu yangu ambayo sina habari nayo
Namba yangu ya simu wanaifanya kuwa sehemu ya kutangazia matangazo bure wakati makampuni husika wao wanawalipa
Kidogo mara Moja special
Mara biko tanzania mara caller tune
Na ukiangalia hayo matangazo sio sehemu ya kutangaza huduma zao bali ni matangazo mengine soon wajiandae
 
unajidanganya kaka. Hiko kibao cha kuwashtaki kitakugeukia wewe tena watakushtaki kwa usumbufu uliowaletea, ukinunua laini soma maandishi yaliyopo kwenye kikaratasi kuna terms & conditions wenyewe wanasema mkataba wao baina ya yao na mteja wana haki ya kukutumia messages za promotions na matangazo. BE CAREFUL KAKA TUTAKUSAHAU OHOO!
 
Wakimbie fastaaaa

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Kila baada ya lisaa kunitumia matangazo ya biashara kwenye simu yangu ambayo sina habari nayo
Namba yangu ya simu wanaifanya kuwa sehemu ya kutangazia matangazo bure wakati makampuni husika wao wanawalipa
Kidogo mara Moja special
Mara biko tanzania mara caller tune
Na ukiangalia hayo matangazo sio sehemu ya kutangaza huduma zao bali ni matangazo mengine soon wajiandae
Block tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya kama hivyo
Screenshot_2019-03-15-21-31-30-73.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom