Je, una shughuli nyingi kupita kiasi?

Je, una shughuli nyingi kupita kiasi?

H sanny

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
245
Reaction score
299
Je, unahisi ratiba yako ina mambo mengi sana? ikiwa ndivyo hauko peke yako. "kila mahali, kila mtu anaonekana kuwa na shuguli nyingi sana."

ikiwa tuna kawaida ya kujitahidi kufanya mengi kuliko vile ambavyo muda unaruhusu, tutapatwa na aina ya mkazo unaosababishwa na kuhisi tumebanwa na wakati. lakini je, maoni, maamuzi, na malengo yetu yana mchango gani ? kwanza, tuchunguze sababu nne zinazofanya watu wajitahidi kufanya mambo kupita kiasi.

- Tamaa ya kuiandalia familia maisha bora.
- Maoni ya kwamba 'ni muhimu kuwa na vitu vingi'
- Kujalibu kufikili matarajio ya wengine.
- Kutafuta heshima na uradhi.

Jifunze kuwa mwenye usawaziko.
Kuishi maisha yenye usawaziko hutuwezesha kuwa na afya nzuri ya kimwili na kiakili. lakini je, kweli inawezekana kurahisisha au kupunguza kiwango cha shughuli maishani mwetu? NDIO. Fikiria mapendekezo haya manne:

- Chunguza upya viwango na malengo yako.
- Epuka tamaa ya kununua vitu vingi
- Weka mipaka inapohusu kazi
- Tanguliza familia yako badala ya kazi.

tumieni muda wa chakula kuzungumza mkiwa familia,

AMKENI !!
 
Back
Top Bottom