Naomba ushauri wa haraka kuepuka kesi hii inayonikumba ya Ubakaji

Kasinja jr

JF-Expert Member
Aug 4, 2017
1,034
1,792
Juzi ijumaa nilikutana na mtoto mkali kwenye club tukakubaliana kwamba Jumamosi aje kunitembelea. Sasa kuanzia saa saba Jumamosi nikaanza kutumika imenitoka Tsh. 60,000 kuanzia vinywaji, nyama aina ya mdudu na usafiri bajaji

Tumekubaliana kupiga show ya kibabe, kumbe yeye nia yake ale vyangu akimbie, baada ya kumgundua nika relax taratibu, akaondoka, usiku ule ule nikaanza kuchati naye akasema alikuwa anawahi shughuli zake. Nikauliza saa tano usiku unawai shughuli zipi, lakini nikaendelea kuchat naye akasema kwamba akipata muda atakuja mitaa yetu, nikasema sawa

Kumbe anataka akija anile tena akimbie, nilichofanya nikapiga picha hela nyingi room kwangu nikamwambia akija kuna mgao wake japo sijamtamkia kiasi, akavutika akaja nikamwambia hatuwezi kufanyia pale mpaka nitafte lodge, tukatafta lodge, baada ya kufika kule akawa ana zingua zingua

Nikatumia mbinu zangu nikala mzigo, namaliza namkabidhi Tsh. 15,000/- akaanza kwamba haiwezekani

Sasa kaenda Polisi eti nimembaka, imenishangaza. Je kuna ambae kakutana na mapakashume kama hawa?

Sijaenda kuripoti Polisi nimeambiwa kuripoti kesho asubuhi, Je nikifika pale si nawekwa ndani wazee au ikoje hii?
 
umenitisha sana mkuu
we kaweke wazi mazungumzo yenu na hali halisi tofauti na hapo utanyea ndoo kweli.

japo polisi Tz hawaeleweki ila kwa ukweli wako unaeza pona,ila ukikuta afande nae kahaidiwa nyapu dadeq utakaa ndani hata wiki
 
Hakikisha unakifuta jasho cha polisi ..tena ikibidi nenda pamoja na kiwi ,brush utaondoka kituo within 20 minutes
 
Kasinja jr, Sasa na ww.. Ndugu yangu.. Nenda police ushahidi kaufate Lodge katik LOG BOOK pale si kuna kusainishana?

Mesej si zipo ktk simu?

Sasa wee nenda kituo cha police ila tu...... Huwez jua nan yupo huko police.. Kama ni bwana wake au ndugu yake wa karibu kakabidhiwa Kesi... Bro utanyea Debe ila SHERIA HAIPINDISHWI nenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninavyojua mimi.

Kama yupo chini ya miaka 18 automatically umebaka bila kujali mazungumzo.

Kama ni above 18.
Ukisema umebakwa, utapelekwa hospitali utafanyiwa uchunguzi ili itafutwe michubuko sehemu za siri.

Kama hana michubuko hiyo inamaanisha aliingiliwa kwa hiari na hapo hakuna kesi ya kubaka.

Hivyo kifuatacha labda ni ushihidi wa mazingira kama bado itaonekana kuna kesi.

Ulibakiwa wapi? Lodge.

Ulipiga kelele? Hapana.

Umebakwa lini? Wiki tatu nyuma.

Ulipelekea taarifa kituoni lini? Wiki iliyopita.

Nazingua mzee, hapo hamna kesi ya kubaka.
 
Ntafuata ushauri asee
 
Ni 22 years
 
Umechat nae,mlikubaliana kupiga show ya kibabe,mkakubaliana iwe guest house na alikuja kuliwa. Wape polisi ushahidi wa hio chat yenu.
Watamtanxika kibao kimoja tu ataropoka ukweli wote.
Kabisa
 
Back
Top Bottom