ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,557
Mchana huu nyumba imeteketea kwa moto huku Saku mbagala mida ya Mchana yaaani mpaka gari la Zimamoto linafika Eneo la ajali nyumba ilikwisha teketea yote,lakini cha kushangaza ni lini huduma hizi zitaenea maeneo mengi ya jiji?hivi kweli mwaka 2019 nyumba inaungua tegeta au bunju,kongowe bado tutegemee gari I toke upanga?waziri wa mambo ya ndani aliyelpo na waliotangulia hawa kuona changamoto hii kiasi kunyamaza kimya?kwanini tusijifunze toka kwenye nchi zilizoendelea ambapo ,karibu kila kituo cha polish kina kuwa na gari za wagojwa na Zimamoto?