Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Selemani Jafo ameagiza kuongezwa kwa mabasi 10 ya kawaida katika Usafiri wa Mwendokasi jijini Dar es Salaam ili...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakandarasi wanaojenga majengo mbalimbali nchini yakiwemo na ya Serikali wahakikishe wanazingatia viwango na waache kulipua kazi. Hata hivyo, Waziri Mkuu...
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini Mhe. Mariam Ditopile Mzuzuri amesema kamati yake inaipongeza na itaendelea kuiunga mkono Wizara ya Madini kwa kazi nzuri...
Mh. Waziri wa Mambo ya ndani tukio liloambatishwa na taarifa hii halifai asilani mbele ya macho ya Sheria. Kwa heshima na unyenyekevu unaombwa sana ku- intervene jambo hili na kuhakikisha hatua za...
WALEMAVU wa viungo vya miguu 600 wanatarajiwa kufanyiwa uchunguzi na kupatiwa miguu bandia katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI).
Akizungumza na HabariLeo, Ofisa Uhusiano wa MOI...
Wakubwa shikamoni
Nilikuwa nina kiswali ninanisumbua sana nilikuwa nauliza Je vile viungo wanavyokatwa wagonjwa hospitalini kama mguu,mkono na vinginevyo huwa vinapelekwa wapi?
Agizo la kuwekewa daladala kwenye Mwendokasi.
Hakika agizo hilo ni moja ya mawazo mabaya kuwahi kutokea katika mwaka 2018/2019.
Ni dhahiri kwamba serikali inaonesha ni jinsi gani inashindwa...
Ndiyo nionavyo mimi.
Mji umekuwa na mambo mengi ya ajabu na yakiwaathiri moja kwa moja vijana. Ingawa utandawazi pia unahusika lakini Tanzania tunafeli sana kwenye mipango miji.
Ingawa sijawahi...
Kituo cha Forodha cha Sirari mkoani Mara, kimekamata mapipa 386 yenye lita za ujazo 96,500 yenye malighafi ya kutengeneza pombe kali ya thamani ya Tsh. milioni 246.6. malighafi hizo zilizokuwa...
Katika kusaidia wananchi kupata huduma za jamii, Serikali imewekeza miradi mikubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu.
Lengo la Serikali ni kuona wananchi wakinufaika na Serikali yao, kama...
*Acacia Njia Panda, Yahaha Kuficha Ukweli wa Uendeshaji Wake*
Uchunguzi wa hivi karibuni unaeleza kuwa Bodi ya Wakurugenzi wa kampuni ya Acacia nchini Uingereza wamekuwa wakihangaika huku na kule...
Uchunguzi wa kitatibu wa mwili wa askari, PC Donald Motoulaya (29) wa ofisi ya kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma uliofanywa na madaktari wa Hospitali ya Rufaa ya Songea (Homso), umebaini kuwa kifo...
Miezi iliyopita mlitueleza kuwa kutakuwa na mvua mikoa ya Dar, Morogoro na mikoa ya Kanda ya Ziwa na kutakuwa na mvua mwisho wa Februari na mwezi wa tatu. Mpaka sasa hasa kanda ya ziwa kuna ukame...
Wadau,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mwenye kujua wapi naweza kupata hicho kifaa al-maarufu kama APC hasa kwa upande wa Tz asaidie na hakika itapendeza sana. kwa kifupi, kuna blacksmith...
Serikali Wilayani Simanjiro imesema, hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Simanjiro ni nzuri.
Mhandisi Zephania CHAULA ameyasema hayo jana kuwa msingi umechimbwa, mawe na mchanga...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, chini ya Mwenyekiti, Mariamu Ditopile Mzuzuri, imeipongeza Serikali kwa kutekeleza mradi wa umeme wa Makambako- Songea (kV 220) ambao umewezesha...
Kuna Tetesi zinaendelea kwamba Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya TATU MZUKA haipo tena na Watendaji wake wametoroka hali ambayo binafsi kuna Mwana Mama Mmoja jirani yangu kabisa alishinda ile...
Tanzania bado tunakumbwa na tatizo la uaminifu katika magari. Mtu anaagiza magari ya kuuzwa lakini anaanza kuyachezea Mara atoe radio Mara abadilishe engine nk.
Naomba kama mwenye kujua...
Umofia!
Leo nilikuwa bored nikaamua search kwenye king'amuzi channel nadra kuziangalia si nikaweka TBC2 kwa kweli nilichokutana nacho ni cha ajabu sana!.
Imagine mpaka leo hii mwezi March...
Hivi hakuna uwezekano wa nchi yetu kuweza kufungia Site ya ili Jarida la Economist linalopost/kupublish content zake kwa njia ya mtandao lisiwe linapatikana hapa nchini Tanzania,
Limezidi sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.