Kama Mababu zetu walikuwa ni Wachawi kupitiliza, kwanini walishindwa kuwaloga Wakoloni?

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,191
11,312
Inasemekana uchawi wa kutisha unahistoria ndefu Africa na ulikuwepo enzi na enzi hadi sasa inasemekana bado uchawi upo. Lakini tukirudi katika enzi za mababu zetu kipindi ambacho wakoloni wanaanza kuingia katika bara letu la Africa, Mababu zetu enzi hizo walisifika kwa uchawi wa kutisha.
100515054-close-up-portrait-of-a-witch-from-the-indigenous-african-tribe-wearing-traditional-...jpeg

Lakini licha ya babu zetu kuwa wachawi na kuabudu mizimu bado walitawaliwa na kuteswa kama wanyama na wakoloni, mababu zetu waliwekwa cheni shingoni na kuuliwa kama kuku pamoja na uchawi wao ambao waloutumia kama kinga.
n-TRANSATLANTIC-SLAVE-TRADE-628x314.jpeg

Je uchawi upo kweli ama ni story za kusadikika? Na kama upo ilikuwaje Babu zetu walishindwa kuwaloga wazungu?
 
Uchawi upo ila unazidiana hao wakoloni usione rangi zao zilivyo ni wachawi balaa.

We unadhani msemo wa si kila king'aacho ni dhahabu ulitoka wapi?

Walichemsha dawa za kiarabu na kijerumani si za mchezo halafu ongeza na uwezo wao wa kujiongeza na ubunifu huwezi shindana nao.

Nihitimishe labda ni mipango ya Mungu kuwa hivo maana Africa yote wametia hayo.
 
Kumbe
 
chcochote kifanyikacho ulimwenguni ni mapenzi yake Mungu-hapa ndipo utaona huyu Mungu alivyo mbaguzi anaonekana anawapendelea wazungu
 
Uchawi upo ila unazidiana hao wakoloni usione rangi zao zilivyo ni wachawi balaa.

We unadhani msemo wa si kila king'aacho ni dhahabu ulitoka wapi?

Walichemsha dawa za kiarabu na kijerumani si za mchezo halafu ongeza na uwezo wao wa kujiongeza na ubunifu huwezi shindana nao.

Nihitimishe labda ni mipango ya Mungu kuwa hivo maana Africa yote wametia hayo.
I guess wafrica tujipange upya walahi
Tusikubali walahi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom