Msaada: Mchakato wa kupanga nyumba za NHC uko vipi?

Unaandika Barua unapeleka Ofisi Za NHC Za mahala ulipo ukionesha Mahitaji yako kwa maaana ya eneo unalohitaji, Ukubwa wa Nyumba unayohitaji kwa maana ya idadi ya vyumba Na kiwango chako Cha kulipa kodi kwa Mwezi

Unajaza form zao then una submit

Ikipatikana Nyumba kwa mahitaji unayotaka wanawasiliana nawe Na ukiridhika mnaingia Mkataba Baada ya kulipa kodi ya Miezi mitatu ya awali Na kulipa Dhamana 'key deposit' ya Miezi mitatu

N.B hizi Ni taratibu rasmi Za kupata Nyumba japo unatakiwa kujiongeza mbali ya hizi taratibu Za Kwenye makaratasi
 
Asante mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom