Kampuni ya Kijapan yaunda kifaa, wanaume kunyonyesha

RtsHjcq

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2017
Posts
4,753
Reaction score
5,517
.
 
Attachments

  • FB_IMG_1552666373618.jpeg
    FB_IMG_1552666373618.jpeg
    42.8 KB · Views: 59
Wajapani kuna shida wanawake hawataki kuzaa ili wasiachishwe kazi kule ukizaa hakuna maternity leave unaachishwa Kazi sababu vwanasema kama waweza kaa miezi mitatu mfano maternity leave na kule kazini ulipokuwa kazi zinaendelea kama kawaida wewe ni excess labour unayetakiwa uachishwe kazi sasa wanawake wengi wa kijapan hawataki kuzaa Japan naona hiyo ni strategy ya kujaribu kusaidia wazazi wenye shift kazini kuwa hata mwanaume akiwa off au shift tofauti na mkewe naye anyonyeshe ili wasiachishwe kazi mfano kama wako shift tofauti mume akiwa kazini mke ananyonyesha na mke akiwa sio shift yake ananyonyesha maisha yanaendelea Kwa Japan soko litakuwepo.
 
Safi sana mkuu umeelezea kiutaalamu hadi yule standard okay anaelewa, big up
 
Nitakitumia.

Sioni shida, mtoto atazaliwa na baba na mama ila atatunzwa na kijiji.
 
Back
Top Bottom