Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 26,030
- 51,324
Wale wenye tabia kama ya Mbuni kufukia kichwa chini wakati mwili wote unaonekana, bandiko hili haliwahusu.
Kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya ni kwamba hapa Tanzania kuna watu wana tabia ya kishoga na kuna wanawake wanaofanya ukahaba.
Kama taifa tuna njia mbili tu za kufanya, ama kupambana kisheria na kwa kila hali kukomesha tabia hizo au kuruhusu iwe rasmi na serikali ipate kodi kwa biashara inayofanyika.
Kwenye Magrupu ya Whatapp, Instagram, au facebook ni kawaida kukuta watu wanaalikana kwenda ama kufanya mapenzi wanaume kwa wanaume ama wanawake kwa wanaume katika misingi ya kulipana kwa fedha.
Watu wanaoishi kwenye miji hapa Tanzania wanajua mitaa na watu wanaofanya biashara ya kuuza miili yao na wengine ni wateja wao.
Hapa Iringa kuna baadhi ya wanafunzi wa vyuo wanafanya biashara ya kuuza miili yao kutokana na ugumu wa maisha wanaokumbana nao na matarajio yanayofunikwa na kivuli cha kutokufanikiwa.
Kama taifa kujifanya haya hayafanyiki ni kujichimbia kaburi il hali uwezo wa kushughulika na hali hiyo upo. Utafiti unaonesha kwamba jamii zisizotaka kujadili kwa uwazi kuhusu Ushoga na ukahaba huishia kuwa na biashara haramu ya binadamu (Human Trafficking)katika jamii zao.
Huko kwenye mashule ya bweni unatoka Mwangi wa sauti ikipazwa kwamba watoto hulawitiwa kwa nguvu na wenzao walio katika madarasa ya juu na tabia ya kusagana miongoni mwa wasichana inazidi kuongezeka.
Tajadiliane...