Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

JOPO la madaktari kutoka Saudi Arabia wameweka kambi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kutoa matibabu kwa watoto. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Balozi wa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi hamujawahi kupiga hesabu ya pesa mnazo poteza kuwachangia wanawake ambao hata hawawezi kua msaada kwenu.. Can you imagine black brother unakomaa na mtu siyo kabisa wa ndoto yako kisa tu...
10 Reactions
25 Replies
3K Views
Mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari ya Yungwe wilayani Nyang’hwale Mkoani Geita, Alex Pastory amekutwa ameuwawa kwenye eneo la kichaka huku sababu za kifo hicho zikiwa bado...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa,. Kama ilivyoada yenu ya kuniamkia na mm naitikia MARHABAA!. Kwa umri wangu bila shaka ITIFAKI imezingatiwa. Kuna mwanafalsa alisema ukitaka kucheka fuatilia namna serikali...
0 Reactions
0 Replies
905 Views
Nimeangalia taarifa ya habari moja siku za hivi karibuni nikashindwa kuielewa: Ilihusu sehemu moja inaitwa Kibondo nafikiri huko ni Kigoma. Habari iliwaonesha nadhani Mwenyekiti wa halmashauri...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari Wakuu Naweza pata wapi mawakala wa visa za Qatar maana nimejikusanya nimepata 5,800,000 nataka nikasake maisha uko maana miaka 28 ndani ya bongo sioni matunda
1 Reactions
9 Replies
4K Views
UTEKELEZAJI wa agizo la Rais John Magufuli la kufungwa kamera kwenye Daraja la Juu la Mfugale, Tazara jijini Dar es Salaam utakamilika ndani ya wiki mbili kuanzia sasa baada ya kamera 14...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimejaribu kujiuliza, miezi ya karibuni kumetokea utitili wa Traffic police barabarani. Unaweza kusimamishwa mara 5 ndani ya umbali wa km 100. Mwanzoni nilidhani lengo ni kudhibiti ajali za magari...
10 Reactions
50 Replies
8K Views
Binafsi sio mpenzi sn wa kusifia mambo yanayofanya na serikali ya awamu ya tano, japo sipingi kwamba yapo mazuri mengi yamefanyika na kustahiri pongezi. Kikubwa napenda kumpongeza kwa kazi yake...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Taasisi inayojihusisha na utafiti wa masuala ya anga nchi Marekani NASA imetangaza kwamba binadamu wa kwanza atakayekanyaga katika sayari ya Mihiri "Mars" anaweza akawa mwanamke . Rais wa NASA...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Police brutality Pande za mataa ya sayansi nikiwa kwenye daladala ya tegeta makumbusho nimeshuhudia unyama wa ajabu ambao nilikua sijajiandaa kabisa kuushuhudia mwanzoni mwa mwaka mataa yameruhusu...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Namaingo Biubwa Ibrahim (kushoto), akitoa maelezo ya mradi wa shamba la Mikorosho kwa Mkuu wa Wilaya ya Kibiti Gulamhusein Shabankief (aliyevaa shati la mikono mirefu) na Mbunge wa...
0 Reactions
1 Replies
924 Views
Hiyo habari hapo juu inaonekana ni ya kitaalamu ila haina maelezo ya kumfanya layman kama mimi aweze kuelewa ni kwa namna gani ufugaji wa nyuki unaweza kuzuia wanyama wasitoke hifadhini. Kwa...
0 Reactions
1 Replies
963 Views
Mambo niliyokutana nayo kule siasani yamenifikirisha sana sasa hapa soko la samaki Ferry wanasema ukitaka kuvua nguru eti kwanza unavua kibua au changu ili awe chambo. Haya tusubiri tumuone huyo...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wana JF, Kama kuna jambo naliongea kwa uchungu ni hili la kuwapa nguvu zisio na mipaka hawa polisi wanaosimamia usalama wa barabara. Hawa watu wameota mapembe, sasa wanatumia madaraka yao vibaya...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Kuna video nimeoina kwenye group letu la WhatsApp inaonesha matrafiki watatu wakipigana na kondakta wa fuso Ngumi zilikuwa Kali hadi kupelekana chini,trafiki mmoja kamng'ata konda Ni mambo ya...
20 Reactions
236 Replies
42K Views
Unakuta dreva wa Lori anatembea speed 20/hr au 15/hr kwenye muinuko, halafu kuna mstari unaokuzuia Ku over take , pili kuna askari traffic wanaendesha gari zao binafsi kwenye mstari huo huo kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Lbd leo niiulize jamii Kwanini watu wapole,upole wao mnauchukulia kama sehemu ya kuwaadhibu.? Nayaandika haya kwani kuna viumbe mi naviita vijinga! Upole wanauchukulia kama ujinga ndo sehemu ya...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomba kuuliza "Ni haki kwa askari wa barabarani kutoza faini ya sh.30,000/= kwa kosa la kutowaka taa moja ya nyuma ya brake? Leo hii nimejaribu kumuelimisha askari kuwa hiyo taa moja inaweza kuwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
>Bwana mdogo alishachukua chake toka mwaka jana october ,shida ni kwamba kabila lake ni watata mno kuliko hata wakurya,muulize Augustine mrema alivyopata shida kutatua mgogoro wa ardhi huko...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom