Kuna kitu sijakipatia majibu kuhusiana na hivyo vitu hapao juu nilivyoviandika.
SIKU, hii ni mjumuisho wa masaa 24 kamili.
Wiki, ni mjumuisho wa siku saba kamili,
Mwezi, ni mjumuisho wa wiki NNe...
The Kenya Bureau of Standard (KEBS) has launched investigations into the quality Always sanitary pads after an online debate on Twitter on the negative effects of the products through a hashtag...
JESHI la Polisi wilayani Muheza mkoani Tanga limemuua kwa kumpiga risasi Mkazi wa Dar es Salaam, Mwinyiheri Nuhu, likidai alikuwa anajihusisha na ujambazi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Edward...
Ni kiini macho na aina fulani hivi ya utapeli..kwamba eti mchawi ajisalimishe na kukabidhi mikoba yake yenye matunguli ya kila aina, huyo hawezi kuwa na maisha tena! Asipouliwa na wenzake atakufa...
Hakika inasikitisha sana kuona watu waliolitumikia Taifa hili mpaka Kustaafu leo wanateswa na Mifuko ya PSSSF na NSSF Mifuko waliyoichangia kwa uaminifu mkubwa.Wastaafu hawa hawana kipato chochote...
Hello JF,
Ningependa kujua kabla hujamvua mtu ubunge,hakuna labda warning letter ama discpinary procedure..??
Nna maana Nassari alizi ignore hizi procedure??
Kama amevuliwa bila kuzingatia...
Habari JF.
Ktk maisha ya binadamu wivu ni jambo la kawaida tangu enzi za kaini na Abel. Je ni kazi gani inayoongoza kwa wanaoifanya kazi hiyo kuoneana wivu wao kwa wao, yani mtu hataki kuona...
Naam kabla ya yote niwatakie heri ya mwaka mpya kwa wote tuliochaguliwa kuuona huu mwaka,ni wangap tumeanza nao mwaka ulioisha but wameshindwa kuumaliza so hatuna budi kumshukuru MUNGU alie juu...
Nimekuwa nikiona idadi kubwa ya Wanigeria, Brazilians etc wananufaika na kuitumia vizuri fursa hii ya Green card lottery ila ni tofauti na Tanzania ambapo mamia hatuna ABC ya suala hili.
Kwa...
Dunia ina mambo sana kuna maeneo ndani ya nchi hii,hawajali choo 100%
Unakuta nyumba nzuri ila choo kina mlango wa gunia,juu hakujazibwa,ndani kuna tope na unyevu unyevu.
Kuna baadhi ya maeneo...
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara kuu Afya) Dkt.Zainabu Chaula amekutana na kufanya mazungumzo na wataalam kutoka Shirika la Tokushukai nchini Japan...
Mzuqa wanaJamvi
Kuna aliyekuwa rafiki yangu nilimkopesha kama shilingi 1.6 M tarehe 11 mwezi uliopita. Akaniahidi mwisho wa mwezi wa pili atanirudishia. Sikumpa online ni kosa kubwa nilifanya...
Najaribu kutafakari hizi kauli za viongozi wetu wa siasa kila mmoja ametoa kauli yake nataka kujua hizi kauli kuhusu Mwenge wa Uhuru walikua na maana gani!
Mwalimu Julius Nyerere (Baba wa Taifa)...
Baada ya soko la madini kujengwa Geita serikali inajipanga kujenga kiwanda kikubwa kwa kushikisha wabia mbalimbali lakini pia soko kuu la samaki na kudhibiti utoroshaji wa samaki kwenda soko la...
Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imesema ulaji wa vyakula vilivyochafuliwa na kiasi kikubwa cha sumukuvu husababisha madhara ya kiafya ya muda mfupi na muda mrefu
Madhara ambayo mtu anaweza...
ILI KUTIMIZA Gender Balance.
Mwanamke mjamzito na aliyejifungua. ANASTAHILI KUPATIWA "MATERNITY LEAVE AND PAY" vivyo hivyo mwanaume apewe likizo na malipo.
. Kutompa ni Ubaguzi wa kiwango cha...
Kama mada inavyo jieleza.Kumekuepo na dhana ya ubaguzi wa kijinsia na kuwepo na jitihada za kuondoa huo ubaguzi.Na wakati mwingine wanaharakati hao wamekuwa wakidai ya kuwa ndugu zetu waislamu...
Ushauri kwa Serikali hii barabara waikabidhi kwa Manispaa ya Kinondoni waiondoe TANROAD. Ni miaka mingi sasa barabara muhimu kama hii yenye kiwanda kikubwa kabisa cha cement na pia kuna makazi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.