The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Mzuqa wanaJamvi
Kuna aliyekuwa rafiki yangu nilimkopesha kama shilingi 1.6 M tarehe 11 mwezi uliopita. Akaniahidi mwisho wa mwezi wa pili atanirudishia. Sikumpa online ni kosa kubwa nilifanya.
Sasa toka mwanzo wa mwezi huu ananizungusha. Sasa kilichoniumiza zaidi jana kaniambia nisimsumbue na kuniblock kote kwaanzia WhatsApp. Nilishikwa na ghazab ya aina yake yani adrenaline ilipanda juu sana. Nikataka kulipiza kisasi usiku.
Bahati nzuri nikapigiwa na rafiki yangu mwengine Simu na nikasimulia. Nikapewa ushauri. Moyo umetulia sasa nimeamua kupotezea ila bado na maumivu moyoni. Nilitaka nimfanyie kitu mbaya sana na ningefungwa.