Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Uzi tayari Enewei ngoja nitie neno,hawa jamaa sijui huu utaratibu umeanza lini. Niko mitaa ya nyumbani kabisa,nalipishwa parking,huku Mbezi hii tabia haikuwepo kabisa. Naona Serikali sasa kila...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Naombeni kujua kuhusu hiki.. Nilikua napitapita mtandaoni mara nikaona habari juu ya kubadili mchoro wa design ya flyover ya ubungo kutoka iliyokuwepo(the most beautiful one) na kuweka nyingine...
3 Reactions
70 Replies
14K Views
Habarini za mida wana JF. Hivi ulishawahi ku note hiki kitu hasa kwa wanaume, ulishawahi kuwa unapita maybe kwenye njia fulani halafu uko na wenzio au kuna watu wanakuja either mbele yako au nyuma...
0 Reactions
2 Replies
889 Views
Mwanamke Anayewatesa Majirani Kwa Kelele za Ngono Atiwa Mbaroni Tena Tuesday, March 23, 2010 1:52 AM Mwanamke wa nchini Uingereza ambaye alishawahi kufikishwa mahakamani kutokana na makelele...
0 Reactions
146 Replies
35K Views
Kwa waliowahi kupata au walio na changamoto hii ya maisha tupeana maujanja au mbinu za kumwezesha mtu arudi katika hali ya kawaida kimapato. Waliowahi patwa na hii hali watakubaliana na mimi kuwa...
0 Reactions
1 Replies
711 Views
Mtwara Lindi Tanga Kigoma Kilimanjaro-upareni. Mikoa yote ya Zanzibar Tabora Morogoro Pwani Dodoma-kondoa NB: ustarabu kote upo ila hiyo mikoa level yao iko juu sana Sent using Jamii Forums...
16 Reactions
119 Replies
22K Views
Huyu kasisi aliniacha hoi kwenye mahubiri yake kwenye kanisa moja katika parokia moja pembezoni mwa jiji la Dar es Salaam jumapili iliyopita. Katika mahubiri hayo alikumbushia mambo matatu ya...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanawake watakiwa kujitokeza kishiriki katika Sekta ya Uziduaji. Wadau wakutana kujadili nafasi ya mwanamke kwenye sekta binafsi na Uziduaji katika adhimisho la miaka 8 ya Jukwaa la canada...
0 Reactions
0 Replies
906 Views
To celebrate the Francophonie and its values, the Embassy of Switzerland is pleased to offer a platform to discuss the challenges of the modern information society for human rights, with the...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwendokasi imeshathibitisha kushindwa katika awamu za mwanzo ukiangalia usafiri wa shida wanaopata Kimara. Japo hapa siasa zitaletwa kutetea hoja, lakini ukweli ndio huo. Nashangaa jitihada...
6 Reactions
99 Replies
8K Views
Habari za muda huu? Ninahitaji msaada wa number za huduma kwa wateja wa hizi kampuni mbili tigo maana ile number yao ya 100 siwezi kuongea nao wananiwekea sauti zilizorekodiwa ikifika mwisho...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Naibu Waziri wa mambo ya ndani Hamad Masauni amemuagiza Kamanda wa kikosi cha usalama barabarani kuwakamata Askari walioonekana wakimtukana na kumpiga vibao dereva mmoja kwenye gari la mizigo...
9 Reactions
23 Replies
10K Views
Mama Angelina Mabula ukimkosa kwenye vyombo vya habari basi hiyo siku haipo. Leo yupo magazeti at least mawili, kama ilivokuwa jana au juzi. Mama Mabula anatoka kanda ya Ziwa na maeneo yake ya...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Me too movement ni mkombozi wa mwanamke hata mwanaume .Kama umebakwa au professor au boss wako wa sasa au wa zamani ashawahi kukupatia kazi au mitihani na kuku.please go # me too Ethiopia .A lot...
0 Reactions
4 Replies
843 Views
VISABABISHI VILIVYOTIA MIZIZI, ATHARI MBAYA ZA UTAPIAMLO “Nilipohisi njaa, mlianzisha tume ya kuchunguza chanzo cha tatizo langu. Nilipokosa makao, mlitangaza magazetini. Nilipokuwa mgonjwa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Pata picha ni muda wa usiku kuna sehemu unaenda kuna shida muhimu sana[ mida kama ya saa sita usiku] ili uweze kwenda huko ni lazima ukodi boda boda ya kukupeleka, basi unaenda mpaka kituo cha...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Salam wanajanvi, Naomba tusaidiane uelewa na kushare maarifa juu ya hawa watu ambao naamini wengine sio Masai,wanazunguka katika miji mingi wakiwa na mifuko imejaa dawa na nyigine wakiwa wamebeba...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kongole!! Kivuko cha watembea miguu(flaiova) kinafanya kazi... Seng'enge imeshawekwa,kwa hiyo hakuna mtu wa kukatiza. Alama za pundamilia hazipo... Kamera ya Police pale darajani ya nini ...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
JE, yawezekana Rais Jakaya Kikwete ndiye anakihofia Chama cha Jamii (CCJ) ambacho kina usajili wa muda tu, na kutokana na maagizo yake kitanyimwa usajili wa kudumu ili kisiweze kushiriki...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Inasemekana dodoma ndio katikati ya nchi. Kwahyo pale ndo sehemu pekee ambayo mtanzania yeyote anayeitwa kwenye usahili awezi kulalamikia nauli maana nisehemu pekee ambapo kila mtanzania akiamua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom