Miaka hiyo ukitoka mwanza,shinyanga tabora kuja dar ilikuwa ni safari ambayo unatubu dhambi zako kabisa na njia nzima unaimba mapambio na kutafakari ukuu wa Mungu mpaka ukifika Dar.
Ilikuwa ni...
Kwa nini tasnia ya Habari sasa hivi imekuwa ya hovyo na yakudharauliwa? Kwa nini sasa hivi kila kukicha waandishi wa Habari ni kukamatwa na polisi na kuwekwa ndani wakiwa kazini?
Jibu ni moja...
Sio kwamba naunga mkono vijana Kubet na wala sina maana ya kupinga isipokuwa nimeshangazwa na TBC kusimamia kidedea kupinga vijana kubet kwa madai ya kuwa hizo ni ndoto za alianacha...
Wana jf saalam!
Ningekuwa nikifuatilia utendaji wa mamlaka hii,sioni tija yake kwa taifa,ni heri ikafutwa ili kuokoa pesa za uma wa watanzani.
Taarifa za hali ya hewa inazotoa haziendi...
Naongea haya kwasababu Azam now wamebweteka sana, local chanels hamna, taarifa ya habari hamna, kinachowalinda kwa sasa ni tamthilia ya SULTAN, na ligi kuu Tanzania bara tu
Siku dili la kuonyesha...
JAMII ISIYOBADIRIKA KIFIKRA
Habari za mchana wapendwa ….
Miaka ya 1980, nilikuwa chini ya miaka 10, nilizoea kuona vitu mbalimbali kama vile vipini, sindano za kushonea nguo, nyembe n.k zikiwa...
Mosquitoes suck whole blood together with all its contained viruses, bacteria and other pathogens, including HIV. Luckily for humans, the HIV virus cannot be spread by mosquitoes.
This is because...
Huu ni utapeli ambao upo wazi kabisa...kila mara Tigo wamekuwa wakituma meseji zao kwangu za kunipa hongera kwa namba yangu kuchaguliwa kushiriki draw flani
Cha ajabu ni kuwa kila siku wananambia...
Mkuu wa mkoa wa Njombe, Christopher Ole sendeka ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuwakamata watumishi 12 akiwemo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe, Iluminata Mwenda kwa ubadhilifu...
Pitapita yangu nimekutana na wakazi na vijana wa Temeke ambao wakutana na msako wa vijana wa Jeshi la Polisi ktk msako mkali sana wa kuhusu huyo jamaa ambaye inasemekana amefanya mauaji ya baadhi...
Mkurugenzi wa mashtaka nchini Biswalo Mganga amewafutia shitaka la mauaji watuhumiwa Musa Sadiki na Edward Matiku baada ya agizo la Rais Maguful
____
Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania(DPP), Biswalo...
Ile sikendo ya kutapeli nyumba ya mjane mama Ana kahangi imezihirika baada kuitwa kwa mkuu wa mkoa.Maro alipotakiwa kutoa hati ya mjane mama Ana Kihinga alidai hawezi kutoa bila mteja wake Bajuta...
Wanabodi, kuna namba hizi 0742 223 697 na 0742 580 263
Wanaweza kukutumia ujumbe ufuatawo..
TATUMZUKA
Hongera!
Umejishindia BONUS Ya Tsh.MILIONI 6 Katika Droo Yetu Ya Saa11. Kamp No.555111...
Kwanza kabisa nishukuru mashirika yote yanayotoa bima za afya kwa watanzania hakika wanafanya kazi kubwa sana kuhakikisha kila mtanzania anapata huduma za kiafya zililizobora kabisa.
Lakini suala...
ASKARI Polisi mkoani Ruvuma, amekutwa amekufa kwenye baa ya Friend's Pub iliyoko katikati ya mji wa Songea huku ikielezwa kuwa alikuwa amekunywa pombe kupindukia.
Akizungumza na waandishi wa...
Madereva wa daladala wa jijini Mbeya leo Jumatatu Machi 18, 2019 wamegoma kutoa huduma ya usafiri kwa shinikizo la kutaka Bajaji zisipite barabara kuu.
Mwananchi imefika kituo cha Uyole na...
SERIKALI imetenga jumla ya Sh trilioni 1 .27 kukarabati vyuo vitano vya polisi katika bajeti ya mwaka 2018/19, gharama hiyo ikijumuisha ukarabati wa majengo ya o si, mabweni, makazi ya wakufunzi...
Toka asubuhi ya Leo Jiji la Mbeya limekumbwa na mgomo wa usafiri wa uma yaani dala dala.
Baadhi ya wakazi wa mji wameonekana wakitembea maeneo mbali mbali ya mji ama kutumia usafiri maarufu wa...
Habari wadau,
Kuna jambo linanisumbua hebu wajuvi wa mambo mtupe kama kichwa ha habari kinavyosema,hua naona TV1 kama wana ukaribu ila sifahamu vizuri kwani mmiliki wa TV1 ni nani?
Je, kwese...
ULIYOJIFUNZA UTOTONI YANAENDELEEA KUIATHIRI JAMII
Ni mengi ulojifunza shuleni lakini hapa napenda kuongelea upande wa elimu. Darasani wanafunzi walifundishwa kutoangaliziana / kutokushirikiana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.