TCRA: Taarifa ya ujumbe unaosambaa siyo ya kweli

TCRA: Taarifa ya ujumbe unaosambaa siyo ya kweli

TataMadiba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
9,884
Reaction score
5,770
Kanusho.PNG
 
Lakini huo ndiyo mtizamo wa serikali maana watu walifanya utani kwa viongozi wakaishia kukamatwa. Au wamesahau kwamba watu wanakamatwa kila siku kwa kutania viongozi?
 
Ningeshangaa kama ingetoka kwao, kwa sababu tungelazimika kuwabatiza majina mengine na yakabarikiwa
 
Tatizo huenda hata hilo.kanusho lenyewe likawa feki maana hata lugha yenyewe iliyo tumika kukanusha si lugha ya kiserikali huenda hata hilo kanusho pia nalo likakanushwa
Kweli kabisa hiyo lugha sio ya ki office kabisa ni ya mtaani
 
Back
Top Bottom