Mifuko ya PSSSF NA NSSF walipeni wastaafu mafao yao

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,331
2,000
Hakika inasikitisha sana kuona watu waliolitumikia Taifa hili mpaka Kustaafu leo wanateswa na Mifuko ya PSSSF na NSSF Mifuko waliyoichangia kwa uaminifu mkubwa.Wastaafu hawa hawana kipato chochote zaidi ya kusubiri malipo yao ya Mkupuo na Pensheni ya kila mwezi.

Hebu tuwafikirie Wazee hawa nani anaweza kuwakopesha wakati wanasubiri hayo malipo?, Je wanajikimu vipi na familia zao?Wastaafu walio wengi ni wale waliostaafu toka Mei 2018 mpaka Desemba 2018.Ni vema Viongozi wa Hiyo Mifuko na Serikali ikawalipa Wastaafu hao.
 
pacoma

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
631
500
"Wacha waisome namba eeeee. ccm mbele kwa mbele"
Hakika inasikitisha sana kuona watu waliolitumikia Taifa hili mpaka Kustaafu leo wanateswa na Mifuko ya PSSSF na NSSF Mifuko waliyoichangia kwa uaminifu mkubwa.Wastaafu hawa hawana kipato chochote zaidi ya kusubiri malipo yao ya Mkupuo na Pensheni ya kila mwezi.

Hebu tuwafikirie Wazee hawa nani anaweza kuwakopesha wakati wanasubiri hayo malipo?, Je wanajikimu vipi na familia zao?Wastaafu walio wengi ni wale waliostaafu toka Mei 2018 mpaka Desemba 2018.Ni vema Viongozi wa Hiyo Mifuko na Serikali ikawalipa Wastaafu hao.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
ingipower

Member
Apr 3, 2012
86
125
Is so sad to explain how we are suffering after several yrs of service, ukienda pspf majibu unayopewa wale vijana unatani utoke na dirisha
 
MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,381
2,000
Yaani NSSF wamepuuza kauli ya Raisi?

FAO LA kujitoa

Waziri nae kimya

Ina maana Raisi haheshimiwi au ni Kauli ya kisiasa tu?
 
Ndensarie

Member
Feb 14, 2012
18
45
Ni jambo linalo uma sana nimechangia mfuko wa nssf kwa zaidi ya miaka 18 bila kupata Farida yeyote. Leo ajira yangu imekoma ninasumbuliwa kupata mafao yeyote yale.
Nilitaka fao la kujitoa nikabadilishiwa gia angani baada ya kufanya kila kitu kilichohitajika nikaambiwa limefutwa tangu mwezi wa nane 2018.
Nimeomba fao la kukosa ajira kuanzia mwezi 11 - 2018 mpaka leo hii ni miezi minne sijalipwa chochote kila nikienda nimeambiwa ubabaishaji mpya.
Hela zangu nimekatwa nikachangia kwenye mfuko huu wa hifadhi ya jamii, ili zije zikanifae wakati wa dhiki sasa hivi ninateseka tena kuzifuatilia inauma sana.
Tuoneeni huruma jamani atuna makosa sisi kuchangia.

Ni jambo linalo uma sana nimechangia mfuko wa nssf kwa zaidi ya miaka 18 bila kupata faida yeyote.
Baada ajira yangu kuikoma ninasumbuliwa kupata mafao yeyote yale.

Nilitaka fao la kujitoa nikabadilishiwa gia angani baada ya kufanya kila kitu kilichohitajika tangu mwezi sita - 2018 nikaambiwa limefutwa tangu mwezi wa nane 2018.
Nimeomba fao la kukosa ajira kuanzia mwezi 11 - 2018 mpaka leo hii ni miezi minne sijalipwa chochote kila nikienda ninaambiwa ubabaishaji mpya.

Tuoneeni huruma jamani atuna makosa sisi wanachama tuliochangia mfuko hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
2,513

wewe unadocuments kweli mbona wengine wanapewa
 
areafiftyone

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
7,671
2,000
Is so sad to explain how we are suffering after several yrs of service, ukienda pspf majibu unayopewa wale vijana unatani utoke na dirisha
I understand,poleni sana.Nadhani ipo sabotage inayoendelea,ili muichukie serikali yenu.Kwa bahati mbaya Magufuli can't be every where.Once again poleni sana.
 
tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
10,989
2,000
Jiwe kachota hela kwenye mifuko yote,kulipa hawezi hata aje malaika mwenzake
Hakika inasikitisha sana kuona watu waliolitumikia Taifa hili mpaka Kustaafu leo wanateswa na Mifuko ya PSSSF na NSSF Mifuko waliyoichangia kwa uaminifu mkubwa.Wastaafu hawa hawana kipato chochote zaidi ya kusubiri malipo yao ya Mkupuo na Pensheni ya kila mwezi.

Hebu tuwafikirie Wazee hawa nani anaweza kuwakopesha wakati wanasubiri hayo malipo?, Je wanajikimu vipi na familia zao?Wastaafu walio wengi ni wale waliostaafu toka Mei 2018 mpaka Desemba 2018.Ni vema Viongozi wa Hiyo Mifuko na Serikali ikawalipa Wastaafu hao.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Junior Nicky

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
500
500
Mkuu fao la kukosa ajira ni tofauti na fao la kujitoa ningependa unidadavulie hilo fao unalolizungumzia wewe lipo katika misingi ya aina gani, ufafanuzi tafadhali ,,,,mie ninavyofahamu unemployment benefits wanakulipa 33.3% ya basic salary yako na withdrawal benefits walikuwa wanakulipa kwa mkupuo kabla sheria mpya hajapitishwa mwaka jana
NSSF lipo hilo fao lakujitoa sahivi linatumika kama fao la kukosa ajira
Sent using Jamii Forums mobile app
 
KASHOROBAN

JF-Expert Member
Apr 7, 2017
864
1,000
Ni jambo linalo uma sana nimechangia mfuko wa nssf kwa zaidi ya miaka 18 bila kupata Farida yeyote. Leo ajira yangu imekoma ninasumbuliwa kupata mafao yeyote yale.
Nilitaka fao la kujitoa nikabadilishiwa gia angani baada ya kufanya kila kitu kilichohitajika nikaambiwa limefutwa tangu mwezi wa nane 2018.
Nimeomba fao la kukosa ajira kuanzia mwezi 11 - 2018 mpaka leo hii ni miezi minne sijalipwa chochote kila nikienda nimeambiwa ubabaishaji mpya.
Hela zangu nimekatwa nikachangia kwenye mfuko huu wa hifadhi ya jamii, ili zije zikanifae wakati wa dhiki sasa hivi ninateseka tena kuzifuatilia inauma sana.
Tuoneeni huruma jamani atuna makosa sisi kuchangia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikuonavyo ni wazi uliwai kuwa muhumini wa ccm, sasa ngoja uisome namba, pole wee,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom