2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,365
- 6,086
ILI KUTIMIZA Gender Balance.
Mwanamke mjamzito na aliyejifungua. ANASTAHILI KUPATIWA "MATERNITY LEAVE AND PAY" vivyo hivyo mwanaume apewe likizo na malipo.
. Kutompa ni Ubaguzi wa kiwango cha Lami. Mwanaume Anatakiwa aweze kukaa na mkewe ili kumhudumia kwa Upendo wa kiwango la Lami.
Huu ndio usasa unaotakiwa.
Kupuuza hili ni Kiashiria kua Sylabus mashuleni zetu hatuziamini.
Big Up Nassary
Sent using Jamii Forums mobile app