MWITONGO MAARIFA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 276
- 1,428
Baada ya soko la madini kujengwa Geita serikali inajipanga kujenga kiwanda kikubwa kwa kushikisha wabia mbalimbali lakini pia soko kuu la samaki na kudhibiti utoroshaji wa samaki kwenda soko la nchi jirani.
Hii ni hatua nzuri kwa uchumi lakini pia ajira kwa Kanda ya ziwa huku tukidhibiti upotevu wa mapato kwa kudhibiti utoroshaji wa rasilimali zetu.
Nitoe pongezi kwa jambo hili kubwa litakaloitangaza Mwanza, Geita na Tanzania kwa ujumla.
Sent using Jamii Forums mobile app