nkumbison
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 2,219
- 2,971
Kuna kitu sijakipatia majibu kuhusiana na hivyo vitu hapao juu nilivyoviandika.
SIKU, hii ni mjumuisho wa masaa 24 kamili.
Wiki, ni mjumuisho wa siku saba kamili,
Mwezi, ni mjumuisho wa wiki NNe kamili
Kalenda ina mjumuisho wa vitu vyote hapo juu lakini mbona inadanganya.
Wenda nilifeli kufaulu Jiografia, siku ya 29, 30 na 31 zinatokaga wapi katika kalenda ikiwa mwezi mmoja ni sawa na week 4 ambazo ni sawa na siku 28.
Tukija kwenye Mwezi kama Mwezi umulikao dunia, tunaambowa huwa unaizunguka dunia siku 28 tuu ktk mwezi mmoja, je si sababu ya kuwa na hesabu hizi za siku na week?.
Njoo kwa wanasayansi nduguzetu wenzetu waendao mwezini bola chombo, mzunguko wao kikawaida siku 28 ktk mwezi.
Sasa hizi 29, 30, 31 za kalenda lengo lake nini au zinakuwa zinauzungumzia mwezi gani?
Mwanafunzi huru....... nipo dawati la mbele.
Sent using Jamii Forums mobile app