Mwenge wa Uhuru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenge wa Uhuru

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndallo, Dec 21, 2010.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Najaribu kutafakari hizi kauli za viongozi wetu wa siasa kila mmoja ametoa kauli yake nataka kujua hizi kauli kuhusu Mwenge wa Uhuru walikua na maana gani!
  1. Mwalimu Julius Nyerere (Baba wa Taifa) yeye alisemange uwamulike na kuwachoma maadui zetu na kulinda mipaka yetu.
  2. Augustino Lyatonga Mrema (Mbunge wa Vunjo) yeye alisema akipata ridhaa ya kuwa raisi wa nnshii hii kupitia tiketi ya chama cha NCCR Mageuzi atapiga marufuku mwenge wa Uhuru kwakua umepitwa na wakati.
  3. Dr. Wilbrod Slaa naye alisema akiwa kwenye kampeni zake za kuwania Uraisi kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kua Mwenge atauweka kwenye jumba la makumbusho.
  Naomba kama kuna mwingine mwenye kujua hatma ya mwenge huu nini suluhisho lake hapo baadae achangie mada hii! Merry Xmass & Happy New 2011:help:
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mwenge is a total wastage of:

  1.Resources in form of huge sums of money spent in making an event to occur.

  2.Labor- represented by humans involved in moving all around with mwenge, and
  participating citizens in all areas over the country.

  3.Time, with all the values it contains is thrown, and people just watch ngoma overnights!

  Mwenge spreads incurable and curable diseases, causes Divorces, and familyies disintergrations!


  Mwenge has to go in the National Museum coz young men have to learn in many coming years that through that Souvenir, their grandaparents had suffered a lot!
   
 3. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  So PJ this two guys Augustino Lyatonga Mrema/Dr. Slaa they were very right?:whoo:
   
 4. f

  fiter JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2014
  Joined: Dec 3, 2013
  Messages: 1,153
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  anayejua kazi yake hebu anambie kwani kila mwaka lazima ukimbizwe mikoa yote
   
 5. M

  Muwazi JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2014
  Joined: May 16, 2014
  Messages: 355
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Kuharibu pesa
   
 6. Tokez

  Tokez Member

  #6
  May 22, 2014
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Sioni umuhimu wake kwani miradi mingi mbona inazinduliwa bila huo mwenge.Kwa kifupi hauna manufaa zaidi ya kupoteza pesa,muda na utuletea umasikini kwa kuchangia mafuta na kuwalipa wanao ukimbiza.Mi nafikiri kama fedha hizo zingewekwa zingesaidia kukarabati barabara zilizoharibika maana bajeti yake imepelekwa kwenye homa ya dangue.
   
 7. S

  Showme JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2014
  Joined: Apr 27, 2014
  Messages: 1,161
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  kwakuwa nimekimbiza mwenge nchi nzima simuelewi mtu yeyote anaesema mwenge umepitwa na wakati akiwemo huyo Mrema.
   
 8. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #8
  May 22, 2014
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,102
  Likes Received: 11,254
  Trophy Points: 280
  Kuchezea pesa tu
   
 9. tamuuuuu

  tamuuuuu JF-Expert Member

  #9
  May 22, 2014
  Joined: Mar 10, 2014
  Messages: 8,099
  Likes Received: 4,833
  Trophy Points: 280
  Hivi bado upo?
   
 10. S

  Showme JF-Expert Member

  #10
  May 23, 2014
  Joined: Apr 27, 2014
  Messages: 1,161
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Upo sana na utaendelea kuwepo.
   
 11. M

  Marjani Member

  #11
  May 23, 2014
  Joined: Jun 18, 2013
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mwenge una faida nyingi kubwa kuliko zote ni;
  1. Unajenga Uzalendo na Umoja. Wakimbiza Mwenge hawatoki Mkoa mmoja lkn Mwenge huwaunganisha. Wananchi Mwenge unakopita hupata taswira ya umoja wetu.
  2. Mwenge unaharakisha ukamilifu wa miradi ya Maendeleo
  3. Mwenge ni mwakilishi wa Rais, taarifa zinazokusanywa kupitia mbio za Mwenge mwisho wake ni kwa Rais. Hivyo humsaidia Rais kama taasisi kutambua hali ya nchi na mazingira ya wananchi wote nchi nzima.
   
Loading...