Mikoa inayoongoza kutojali mazingira ya choo

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,033
Dunia ina mambo sana kuna maeneo ndani ya nchi hii,hawajali choo 100%
Unakuta nyumba nzuri ila choo kina mlango wa gunia,juu hakujazibwa,ndani kuna tope na unyevu unyevu.

Kuna baadhi ya maeneo nyumba haina choo kabisa na familia haina wasiwasi maisha yanaendelea ,angalia hii mikoa
1.mtwara
2.Lindi
3.dar
4.tanga
5.pwani
6.kigoma
7.kagera/bukoba
8.mara/tarime
9.simiyu
Katika mikoa hii kuna familia nyingi wanatumia choo cha shimo (cha kulenga)ni hatari kwa usalama.
Nitarudi.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujafanya utafiti wewe. Mikoa ya Usukumani siiioni hapo yaani Shinyanga, Geita, Simiyu ni nambari wani kukosa Vyooo. Huko Dar, Pwani umewaonea sana Mkuuu.
 
7.bukoba
8.tarime
Katika mikoa hii kuna familia nyingi wanatumia choo cha shimo (cha kulenga)ni hatari kwa usalama.
Nitatudi.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu édit kwenye bukoba andika kagera maana hakuna mkoa wa bukoba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujafanya utafiti wewe. Mikoa ya Usukumani siiioni hapo yaani Shinyanga, Geita, Simiyu ni nambari wani kukosa Vyooo. Huko Dar, Pwani umewaonea sana Mkuuu.
Mi nimeshangaa ati Dar? Sehem gani?
Obey, Tabata, Mbagala, Gomz, Kunduchi, Kimara, Ununio, Sinza, Manzese, Tmk???

Tanga wapi? Korogwe, Tanga, Muheza, Lushoto, Handeni?
Angeanza ni Mikoa ya kanda ya ziwa kisha akaja hii watu wasingeshtuka, lakin duh
 
Huko kanda ya ziwa, hawatumii choo moja, na wakwe, mkwe akienda chooni inabdi wewe uende chaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia ina mambo sana kuna maeneo ndani ya nchi hii,hawajali choo 100%
Unakuta nyumba nzuri ila choo kina mlango wa gunia,juu hakujazibwa,ndani kuna tope na unyevu unyevu.

Kuna baadhi ya maeneo nyumba haina choo kabisa na familia haina wasiwasi maisha yanaendelea ,angalia hii mikoa
1.mtwara
2.Lindi
3.dar
4.tanga
5.pwani
6.kigoma
7.kagera/bukoba
8.mara/tarime
9.simiyu
Katika mikoa hii kuna familia nyingi wanatumia choo cha shimo (cha kulenga)ni hatari kwa usalama.
Nitarudi.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Choo cha shimo chakulenga tokanlini kimekuwa hatari au mm ndo nimesahau maana wenhi wetu yulioko humu ndo vyoo yulivyotumia na tunaendelea kutumia ...labda useme ilibyojengwa chini ya kiwango kinavhokubalika...ajali ya kuporomoka kwa choo utaisikia mara moja kwa mwaka
 
Dunia ina mambo sana kuna maeneo ndani ya nchi hii,hawajali choo 100%
Unakuta nyumba nzuri ila choo kina mlango wa gunia,juu hakujazibwa,ndani kuna tope na unyevu unyevu.

Kuna baadhi ya maeneo nyumba haina choo kabisa na familia haina wasiwasi maisha yanaendelea ,angalia hii mikoa
1.mtwara
2.Lindi
3.dar
4.tanga
5.pwani
6.kigoma
7.kagera/bukoba
8.mara/tarime
9.simiyu
Katika mikoa hii kuna familia nyingi wanatumia choo cha shimo (cha kulenga)ni hatari kwa usalama.
Nitarudi.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii si ndio ulisema ina wastaarabu
 
Back
Top Bottom