Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

  • Redirect
Clement Mwankayi Kiondo (43) “CK” aliyekuwa anajulikana kama “Kigogo wa Wema” ambaye alikuwa Mhasibu wa Wakala wa Ndege za Serikali, pamoja na aliyekuwa Ofisa wa benki ya NBC, Emmanuel Kagondela...
0 Reactions
Replies
Views
Kuna hili tangazo la TRA, la kuwataka watu wote wenye tin Namba kwenda kuhakiki taarifa zao ili wabadili mfumo mimi binafsi naona ni usumbufu uliotukuka; kwani wao hawana kumbukumbu za wateja wao...
7 Reactions
22 Replies
4K Views
  • Redirect
Nampongeza Rais Magufuli kwa kuongea kiswahili katika mkutano wa umoja wa mataifa huru ya Africa, AU. Kutokujua vema lugha ya kiingereza kumempatia vema Mh. Rais fursa ya kutangaza lugha yetu...
3 Reactions
Replies
Views
Naomba TBS mfuatilie na kukomesha biashara batili ya vito hasa Mikufu ya Silver Kariakoo na penginepo Dar. Watu wanaibiwa kwa kuuziwa vito fake. Chain ya Laki Tatu unavaa siku mbili inageuka bati...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limekanusha kupiga marufuku ufungishaji ndoa madhabahuni kwa wanawake waliozaa. Barua ya juzi ya Katibu Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tanzania imepata nafasi ya kipekee kuwakilishwa na ndugu Julius J. Julius, Mkurugenzi Wa (www.clickncart.co) katika mashindano ya Ujasiriamali Afrika. Mashindano haya ambayo Ndugu Julius pekee...
1 Reactions
7 Replies
902 Views
  • Redirect
Hivi kwa nini watu ni washamba kiasi hiki,nashindwa kuwa define hawa. Je nikutaka kustarehe pindi akiwa kwenye daladala au ni wavivu Wa kusimama labda jion mtu anakuwa amechoka lakini asubuhi aaaa...
1 Reactions
Replies
Views
Nimeshangaa kuona hii habari kutoka millardayo leo tarehe 1 wakati hili tukio limetokea siku tatu zilizopita. Nimetafta hata post yoyote inayozungumzia hii habari humu JF sijapata. Inamaana maafa...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Katika mkoa wa tanga walimu wamejikuta wakipata wakati mgumu baada ya agizo la serikali kuwaondoa walimu walioko mijini na kupelekwa vijijini huku wakilipwa ghalama ndogo sana za uhamisho, labda...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kagera. Watu wanne wamefariki dunia katika matukio tofauti likiwemo la mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Gwanseri wilayani Muleba kuuawa na baba yake wa kambo kisha kumfukia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
1. Kushusha vioo nusu mlingoti. 2. Kuchukia sana air conditioner wakati wa joto Kali. 3. Kujitahidi sana kukataa safari za mbali, yani movement zinakuwa fupi sana. Wito, msinunue Magari kwa sita n...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
  • Redirect
1 Reactions
Replies
Views
Jana nilikwenda kupata huduma katika CRDB Tawi la Geita. CRDB Geita ina wateja wengi sana na hii imetokana na Mgodi wa GGM kuwa maeneo hayo lakini huduma inayotolewa na Benki hiyo haina kiwango...
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Umoja wa waandishi wa habari mkoani Arusha umeipongeza serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Mh John Pombe Magufuli kwa kuupitisha muswada wa sheria ya vyombo vya habari ya mwaka 2016 kwani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Zijue dalili 4 za mpenzi mkorof Zijue dalili 4 za mpenzi mkorof - MUUNGWANA BLOG
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mafuriko yaleta maafa Mpwapwa Source:Mwananchi
0 Reactions
0 Replies
655 Views
Salaam wakuu!!. Wengi wetu naamini saahizi tumepumzika baada ya pilikapilika za kutwa nzima. Kuna mambo huwa tunayaongea kwa makosa Mara kwa Mara bila ya kujua kuwa tunakosea au tunajua...
7 Reactions
37 Replies
5K Views
Mafanikio ni kuchagua, ni kweli unaweza kuwa una hali ngumu ya maisha kiasi cha kuona wewe si kitu tena, ila jiulize ?, ni wangapi wamepitia shida nyingi kama wewe tena walizaliwa familia...
5 Reactions
14 Replies
4K Views
Tanzania takes over FETÖ-run schools in the country ANADOLU AGENCY DAR ES SALAAM, Tanzania PublishedJanuary 20, 2017 Tanzanian authorities have dealt with the issue of taking over Gülenist Terror...
0 Reactions
131 Replies
19K Views
Shule za Feza zimetapakaa nchi zaidi ya 16O duniani na zinamilikiwa na mtandao unaoitwa Hizmet Movement. Hawa Hizmet Movement ni wafuasi wa Imamu wa Kituruki aishiye Marekani anyefahamika kwa...
24 Reactions
171 Replies
29K Views
Back
Top Bottom