TBS ondoeni Ubatili biashara ya Silver Chains - Kariakoo Jewellers

Ambiente Guru

JF-Expert Member
May 21, 2012
2,602
1,084
Naomba TBS mfuatilie na kukomesha biashara batili ya vito hasa Mikufu ya Silver Kariakoo na penginepo Dar.

Watu wanaibiwa kwa kuuziwa vito fake. Chain ya Laki Tatu unavaa siku mbili inageuka bati na kupiga kutu. This It is absolutely day light robbery !!

Wengine wanaunganishaunganisha vipande halisi na fake.

Ushauri: Hakikisha unaenda na kipande chasmaku (magnet) dukani; Faki itavutwa na smaku.

Candid to my Country
 

Attachments

  • FSilver.jpg
    FSilver.jpg
    9.1 KB · Views: 28
Back
Top Bottom