Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Serikali imebana pesa ituachie wananchi wake tujinafasi kwenye bia na baa tupunguze stress Pendekeza serikali ifanyaje ili pamoja na mkazo wa kiuchumi tuendelee kula bata
1 Reactions
1 Replies
606 Views
Habarini wanaJF. Nimefikiria tu sababu ambazo hunifanya ninywe pombe au kutumia kilevi, japo kiafya ni hatari tupu.Huwa nikilewa napata raha sana duniani: 1. Matatizo, shida hutoweka 2. Nakuwa...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
LOVE, WEALTH AND SUCCESS. Siku moja mwanamke alitoka nje ya nyumba na kuwaona wazee watatu wenye mvi kichwani wakiwa wamekaa nje ya nyumba yake. Hakuwatambua na wala hakuwa anawafahamu...
0 Reactions
9 Replies
803 Views
Na angalia Chanel 10 hapa naona majadiliano baina ya polisi na boda boda, hoja ni usalama wa barabarani baina ya madereva wa boda boda naabiria wao kuvaa helmet ⛑. Police wanataka boda boda...
1 Reactions
1 Replies
871 Views
Mama moja wa kijiji cha Lulwangwa halmashauri ya Itigi wilayani Manyoni amepoteza maisha kwa kutokwa na damu nyingi baada ya yeye na mume wake kuamua kwenda kujifungulia kwenye duka la dawa...
5 Reactions
68 Replies
8K Views
Habari wadau.., Jioni hii yamenikuta nimetoka ATM nikachukua laki nne na risiti ikaandika hivyo hivyo, nilivyochukua hizo pesa sikuhesabu nikaweka kwenye bahasha maana nilikuwa naenda kumlipa mtu...
0 Reactions
6 Replies
891 Views
Tuesday, December 28, 2010 9:48 PM Mnyele alifutiwa adhabu hiyo mbele ya Jopo la Majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa Jaji Salum Massati, Mbarouk Mbarouk na Benard Luanda baada ya kutengua hukumu...
1 Reactions
42 Replies
14K Views
Wanaume Arusha walalamika kunyimwa tendo la ndoa UPDATE;Imebainika kwamba idadi ya wanaume wanaotoa malalamiko yao dhidi ya wenza wao Arusha imeongezeka mara mbili kwa mwaka 2016 ikilinganishwa...
0 Reactions
1 Replies
827 Views
  • Redirect
Tabora. Askari aliyekuwa akifanya kazi kituo kidogo cha polisi tarafa ya Igurubi wilayani Igunga mkoani Tabora, amejiua kwa kujinyonga kwa kutumia shuka kutokana na kinachodaiwa kuwa ni wivu wa...
1 Reactions
Replies
Views
Kumekuwepo na uzushi mwingi ikiwemo uongo na propaganda juu ya maisha yangu na watoto wangu wa kuzaa. 1. WATOTO. Nina watoto wanne, kila mtoto na mama yake, mtoto wa kwanza Mungu alinibariki...
10 Reactions
212 Replies
16K Views
Jina lake halijafahamika, ila picha inajielezea yenyewe
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Napendekeza hiyo faini ilipwe pamoja na Road license kwa TRA moja kwa moja, TPF wasijihusishe na ukusanyaji mapato, hiyo sio kazi yao. Kwanini umpangie mtu masharti magumu tena yenye riba kali...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Tetesi na maneno mitaani yapo na wahusika bila shaka wanajua ila wameuchuna tu kuna wabongo wanamiliki passport 2,za Tz an nchi nyingine haswa sweden,Uk na USA na kuna hadi watu maarufu na...
0 Reactions
1 Replies
580 Views
Mchungaji wa kanisa la Free Pentekoste Church Tanzania (FPCT) Tawi la Gezaulole wilayani Hai, Emanueli Mwikizu (42) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Hai kwa tuhuma za kumbaka mtoto wake...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
  • Redirect
Dar es Salaam. Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ardhi Dar es Salaam (ARU) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kupandishwa kizimbani akikabiliwa na kosa la kuchapisha taarifa za...
1 Reactions
Replies
Views
Serikali yetu ipo tayari kuona ng'ombe, mbuzi, kondoo wanakufa kwa kukosa majani, na pia kuikamata kabisa pale tu inapoingizwa katika mbuga zilizoshamiri majani tele..... Lakini wanalinda wanyama...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
MFANYABIASHARA maarufu wa kampuni ya MM Distributers ,Boniphace Mshana (Mtaveta) mkazi wa majengo jijini Arusha,ameingia matatani na jeshi la polisi kufuatia vifo vya utata kwa wafanyakazi wake...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Redirect
Habari zenu wana jamvi Kumekuwa na sintofahamu kwa wahitimu wa chuo cha uhasibu dar es salaam ngazi ya shahada waliokuwa wakifadhiliwa na board ya mikopo,yapata mwezi na masiku kadhaa tangu chuo...
0 Reactions
Replies
Views
Baada ya mtu aliyepigwa faini kulalamikia kitendo hicho kwakuwa alionewa na askari wa usalama barabarani. Kamanda Mpinga amemuamuru askari husika ndie ailipe faini hiyo.
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Katika kipindi hiki cha hali ngumu watu wengi wamekua wakibana matumizi katika manunuzi mbali mbali na kubadili lifestyle kabisa, watu wameacha kunywa pombe,kutokua na michepuko lakini wameongeza...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom