Dalili za gari kukushinda

bugzbunny

JF-Expert Member
Mar 9, 2013
839
755
1. Kushusha vioo nusu mlingoti.
2. Kuchukia sana air conditioner wakati wa joto Kali.
3. Kujitahidi sana kukataa safari za mbali, yani movement zinakuwa fupi sana.
Wito, msinunue Magari kwa sita n show off za mjini na kutishia kina Dada, mtaumbuka
Nyingine wadau mnazijua, endeleeni wadau
 
ww gari unalo? maana point zote haziendani, kushusha kioo si kosa, kuendesha safari fupi si kwamba unaweza endesha masaa 4 hadi 8 au 14 ktk highway au barabara za vyumbi. mpaka unanunua gari lazima upitie mitihani mingi si km hii ya vijana wanamaliza cho mkopo wa kwanza gari pa kulala hana wala stuli, kupiga jeki au kubadili plug tabu
 
Hakuna kitu sipendi kama mtu kufungilia mziki mkubwa yani kwenye foleni yeye tu ndio anasikika.

Pia kuna wale ambao muda wote anapiga honi, afu akipiga honi ni kama yale matarumbeta ya vigodoro - pey pee pee ee pe peee.

Afu kuna hawa madogo wananing'iniza maufunguo kiunoni. Unakuta mtu ana lifurushi kuubwa afu anachomekea ili aonekane, hata ikiwa juu kavaa jezi.

Pia kuna hawa madogo unakuta ana kiIST akipitwa tu na gari yoyote anaanza ligi, hata kama ni cruiser.

Si dalili za gari kukushinda bali ushamba wa kumiliki matako.
 
ww gari unalo? maana point zote haziendani, kushusha kioo si kosa, kuendesha safari fupi si kwamba unaweza endesha masaa 4 hadi 8 au 14 ktk highway au barabara za vyumbi. mpaka unanunua gari lazima upitie mitihani mingi si km hii ya vijana wanamaliza cho mkopo wa kwanza gari pa kulala hana wala stuli, kupiga jeki au kubadili plug tabu
Asante kiongozi
 
1. Kushusha vioo nusu mlingoti.
2. Kuchukia sana air conditioner wakati wa joto Kali.
3. Kujitahidi sana kukataa safari za mbali, yani movement zinakuwa fupi sana.
Wito, msinunue Magari kwa sita n show off za mjini na kutishia kina Dada, mtaumbuka
Nyingine wadau mnazijua, endeleeni wadau
Bila kushusha kioo warembo watanionaje kua na gari kali?,kioo kikiwa juu huonekani vizuri,nunua na wewe gari ufanye haya utajua utamu wa kioo kua chini
 
1. Kushusha vioo nusu mlingoti.
2. Kuchukia sana air conditioner wakati wa joto Kali.
3. Kujitahidi sana kukataa safari za mbali, yani movement zinakuwa fupi sana.
Wito, msinunue Magari kwa sita n show off za mjini na kutishia kina Dada, mtaumbuka
Nyingine wadau mnazijua, endeleeni wadau
1.Waliotengeneza wameweka option ya kushusha kioo sio wajinga, sio kila mara utumie AC ushamba utakuua, ni vizuri muda mwingine upate natural breeze.
2.Ndio nakusikia wewe.
3.Mjanja hazuruli au kwenda mbali kwasababu ana gari anaenda kama ana shida muhimu. Mshamba ni yule ambae anakwenda kila mahali bila ratuba kisa ana gari.
 
1na 2. Joto la dar lilivo Kali unataka kuniambia hutaki a/c? huko ni kufulia.
3.huwezi Kwenda mbali kama mafuta ni ya mawazo mkuu, tena nyie wazee wa altezza sijui Subaru ,Magari ya bei rahisi ila matumizi Mkubwa ndo mnaisoma kweli haha
 
ww gari unalo? maana point zote haziendani, kushusha kioo si kosa, kuendesha safari fupi si kwamba unaweza endesha masaa 4 hadi 8 au 14 ktk highway au barabara za vyumbi. mpaka unanunua gari lazima upitie mitihani mingi si km hii ya vijana wanamaliza cho mkopo wa kwanza gari pa kulala hana wala stuli, kupiga jeki au kubadili plug tabu
Swali la kuniuliza ni , nina MAGARI MANGAPI NA AINA GANI? Nawasikitikia sana nyie wenye Magari ya mikopo au ela za kubahatisha
 
1na 2. Joto la dar lilivo Kali unataka kuniambia hutaki a/c? huko ni kufulia.
3.huwezi Kwenda mbali kama mafuta ni ya mawazo mkuu, tena nyie wazee wa altezza sijui Subaru ,Magari ya bei rahisi ila matumizi Mkubwa ndo mnaisoma kweli haha
Hujazoea gari wewe. Ukizoea utanielewa. Wenzio sasa hivi kuendesha tunaona adhabu. Leo sijatoka ndani gari iko garage ina 3/4 tank!
 
Kwel mkuu hata mim nilikuwa nafikiria kununua kausafir walau kakutembelea lakin nimeona nisitishe kwanza! mpaka ntakapokuwa na kipato cha uhakika maana ukiweza kuhimil kipind hiki bs ushatoka
 
1. Kushusha vioo nusu mlingoti.
2. Kuchukia sana air conditioner wakati wa joto Kali.
3. Kujitahidi sana kukataa safari za mbali, yani movement zinakuwa fupi sana.
Wito, msinunue Magari kwa sita n show off za mjini na kutishia kina Dada, mtaumbuka
Nyingine wadau mnazijua, endeleeni wadau
Hapo kwenye number 3 ndiyo issue yako. Kwingine danganya toto tu. Umesomeka Mkuu.
 
1na 2. Joto la dar lilivo Kali unataka kuniambia hutaki a/c? huko ni kufulia.
3.huwezi Kwenda mbali kama mafuta ni ya mawazo mkuu, tena nyie wazee wa altezza sijui Subaru ,Magari ya bei rahisi ila matumizi Mkubwa ndo mnaisoma kweli haha
We jamaa kilaza hataree..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom