alteza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 209
- 53
Tanzania imepata nafasi ya kipekee kuwakilishwa na ndugu Julius J. Julius, Mkurugenzi Wa (www.clickncart.co) katika mashindano ya Ujasiriamali Afrika. Mashindano haya ambayo Ndugu Julius pekee kutoka Tanzania anashiriki ni ujasiriliamali Wa kimtandao(digital entrepreneurship) kama Mtanzania pekee, ili kufanikisha ushindi anaomba umpigie kura kupitia. link hii GEN South Africa - GEC2017 Digital Pitch Competition | Facebook ambayo utalog in Facebook au kwenda moja kwa moja na kisha na kupiga kura.
Ili akaiwakilishe Tanzania vizuri na kufungua milango ya fursa kwa vijana wengi wanaojihusisha na ujasirimali hasa ujasiliamali Wa kisasa au kimtandao. Ushindi wake ni ushindi Wa Tanzania nzima.
Nashukuru, Pamoja Tutashinda, Tanzania kwanza...+255